Makonda ana tabia zote za Hayati Magufuli

Sema watu wazima wengi hovyo sikuhizi.
Yaani nimekuambia anachofanya makonda kutofautiana na wengine waliopota kwa kufika kusikiliza matatizo ya wananchi unasema umri.

Kweli hata babu linaweza jinga[emoji23]
uongoz sio kukaa majukwaan , yule anamfanyia Sa100 kampen kitu JPM hakuwai fanya , kiongoz bora hatakiwe kuwa na element za uchawa
 
Nimekuelewa mkuu.
Bora ulvyoongea kuliko hilo jitu zima hapo juu.
 
Makonda akiwa prezidaa Kuna watu watahama hii nchi. Jamaa ni mkorofi hata magu haoni ndani. Kikubwa sisiem Kama wanataka kurudisha Imani kwa watz wampe ridhaa huyu mwamba after hagaya. Atapita bila kupingwa na watz. Hii nchi inataka watu wawajibikaji Kama makonda.
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Umetumwa Kutoka Luhengeri
 
Makonda ni mkurupukaji kama mwenda zake,mbona aongelei katiba mpya?
 
Nimekuelewa mkuu.
Bora ulvyoongea kuliko hilo jitu zima hapo juu.
Magu huyu mnae mdifiaga hakuwa na jipya tofaoti na kukulupuka,ndio maana alikataa katiba mpiya na kuwakataa wapinzani hili afiche ujinga wake
 
bado sana tuwe wakwel , yule anaigiza ila Jpm hakuigiza
Jpm kailudisha nchi nyuma mwanzo nilidhani ni mtu kumbe alikuwa msukule[emoji12][emoji12]unafahamu kwanini alikataa katiba ya walioba?unafahamu kwanini aliwachukia wapinzani?unafahamu kwanini ulichukia viombo vya habari?je alihofia nini kwa tundu lissu mpaka atake kumua?
 
Queen Sheba kaamua kupiga chini team meno ya tembo kaamua kucheza na team jiwe maana jiwe Bado anaishi miongoni mwa wanyonge
Wanyonge walio muona jiwe babu kubwa ufahamu wao mdogo,je unafahamu tulijuane kuwa nchii kuna mafisadi papa nani alie twambia?
 
kuna mihuni imeshikilia nchi, tnahitaji dude gumu la kuingoza nchi itoke kwa walaghai, hii safari ni ndefu...siku zote vizuri havidumu
 
Habari wanajamvi?

Nilikuwa naangalia katibu mwenezi Paul Makonda yupo anyara Leo na Leo analala anyara ili kesho aende kelele kusikiliza matatizo ya wananchi.

Ninaona kabisa zile itikadi za Magufuli anazo kwa asilimia zote. Na haya ma game Makonda anayaweza sana.

Kuna mama alikuwa anadai tangu 2014 hakulipwa, Makonda akamuita Mkurungezi akawa anajinga’ta akaja mkuu wa mkoa akasema mheshimiwa tunamlipa mama deni lake sababu ni la muda mrefu.

Hivi Makonda hafai kweli ili tupate kariba ya mtu kama Magufuli?
Tabia hizo zimemgharimu
 
Haya, anafaa🤣🖐️
 
Back
Top Bottom