Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio kawaalika.
Je, anamaanisha kuwa wakiwa na makosa basi yeye atakuwa kama ngao ya makosa yao?,Je, Makonda yuko juu ya sheria? Anatuma ujumbe kuwa anaweza kuvunja sheria na hakuna lolote litamgusa au yoyote wa kumugusa na kwmba anaweza kukinga hata makosa ya wale anaowataka?
Pia soma: Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe