Pre GE2025 Makonda anahalalisha uvunjifu wa sheria? Hizo kesi anazosema auziwe yeye atazimaliza vipi au anatuma ujumbe gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio kawaalika.

Je, anamaanisha kuwa wakiwa na makosa basi yeye atakuwa kama ngao ya makosa yao?,Je, Makonda yuko juu ya sheria? Anatuma ujumbe kuwa anaweza kuvunja sheria na hakuna lolote litamgusa au yoyote wa kumugusa na kwmba anaweza kukinga hata makosa ya wale anaowataka?

Pia soma: Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe
Huyu mjinga kweli kanyimwa akili kapewa makalio makuuuubwaa.
 
Makonda akili yake anaijua yeye na wanao mteuaga
 
Majuzi ilikuwa siku ya afya ya akili
Patia kipaumbele afya ya akili pahala pa kazi, ndio msingi maudhui ya siku ya Afya ya Akili duniani inayoadhimishwa leo Oktoba 10, wakati huu ambapo inaelezwa mtu 1 kati ya 8 duniani ana tatizo la afya ya akili.

Jana sio Majuzi
 
Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio kawaalika.

Je, anamaanisha kuwa wakiwa na makosa basi yeye atakuwa kama ngao ya makosa yao?,Je, Makonda yuko juu ya sheria? Anatuma ujumbe kuwa anaweza kuvunja sheria na hakuna lolote litamgusa au yoyote wa kumugusa na kwmba anaweza kukinga hata makosa ya wale anaowataka?

Pia soma: Godbless Lema: Land Rover Festival ni mkakati wa watu wasijiandikishe
Hana akili za kutosha.
 
Huyo askari polisi atakaefuata maelekezo ya makonda atakuwa hana akili.
 
Back
Top Bottom