Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio kawaalika.
Je, anamaanisha kuwa wakiwa na makosa basi yeye atakuwa kama ngao ya makosa yao?,Je, Makonda yuko juu ya sheria? Anatuma ujumbe kuwa anaweza kuvunja sheria na hakuna lolote litamgusa au yoyote wa kumugusa na kwmba anaweza kukinga hata makosa ya wale anaowataka?
Kama aliongoza genge la kutaka kumuua TAL lakini hakushitakiwa sehemu yeyote ndio ije kuwa traffic case? Nasisitiza wenye mikweche hata kama hauna leseni traffic akikukamata mwambie aongee na BASHITE.

Makonda asema mwenye Difenda, Range au Discovery aende kushiriki tamasha aliloandaa, na ikitokea amesimamishwa na askari aseme kaalikwa na Makonda, ampe kesi yeye. Kauli hii ni sawa na kuhalalisha uvunjivu wa sheria, maana kile atakayekutwa na janga atasema Makonda amesema usituzie tupite bila shida.
Kwa namna fulani na ka namna na kujipigia promo kwenye uchaguzi, ukimchagua Makonda mambo ni oya oya huna haja ya kufuata sheria.

Kwa kipindi hiki hio ni exemption hajasema watumie barabara kwa kuvunja sheria, hilo ni tukio mahususi la Kutangaza nchi, kwenye hili tuungane sote tafadhari