Makonda anakosea kutaka kujenga msikiti wa dola milioni 80-100 katika mji wa Kikristo Arusha

Arusha street roads 😭😭😭😭😭
 
😁😁😁😁
 
Bil 200 unajenga msikiti Arusha pamekuwa Macca hizo ni akili au MATOPE ? Kwanini usijenge chuo kikuu chenye misingi ya kiislamu mana jamaa wana chuo kimoja tu chenyewe tia maji tia maji
Elimu ya Dunia ni muhimu zaidi kuliko Elimu ya kiroho.
 
Inawezekana ni wafadhili kutoka Uarabuni kama ilivyokuwa ya Magu na Mfalme wa Morocco

Kama ni hivyo labda wao ndio wametaka kutoa msaada wa msikiti
Nafikiri hili kama amewashirikisha na Bakwata na wamekubali basi ni kheri
Ila labda ingekuwa vizuri zaidi kuwa na chuo hapo maana msikiti ni kawaida utakuwepo hapo kwa ajili ya wanafunzi

Maamuzi ni yao wao sisi ni kuchangia tu
Kwa chuo ni gharama nyingi sana kuliko Msikiti na kuwapata wafadhili labda waseme wanataka kujenga Chuo na kukiendeleza kwa kila kitu

Au wakabidhiwe watu ambao wataweza kukiendeleza kwa Ada za wanafunzi
Na iwe na masomo yote kama shule zingine bali na dini ifundishwe kwani zipo shule za hivyo vingi tu kwa sasa
 
Very costful, dola mil.80-100 ni around TZS bil.200-250 hata bank za BOT hazifikii huko zinachezea bil.10-30. Wakizitaja kwa dola zinaonekana ndogo. Majengo ya kidini siyo utalii jamani hebu tuwe na vipaumbele vya kusaidia jamiii. Kwani ukijenga msikiti wa bilion 5 hzo bilion 200 zibazobaki ukajenga madaraja au mabweni maeneo korofi kuna shida gani?
 

Sawa lakini kabla ya ukiristo kuingia huko hiyo mikoa ilikuwa na dini zao za asili. Kama ilikuwa sawa kwa Ukiristo kuingia huko basi itakuwa fair kwa dini nyingine nazo kuingia. Wacha dini zipambane zile zitakazozidiwa nguvu basi zipoteze ushawishi.
 
Hata Dar Jumapili na December wakati wa Krismasi mji huwa mtupu. Je 70% ya wakazi wa Dar ni Wakristo?
Mshamba wewe wa vijijni ndio mmeingia mjini juzi,
jumapili Dar ilikuwa kimya tokea hujazaliwa na kabla nyinyi walugaluga hamjaja Dar
December gani hio hakuna watu au ndio mbavyodanganya huko vijijini?
 
Anaeiga hapo ni nani sasa!
Makonda au waislam?
Anaetaka kujenga huo msikiti ni makonda au waislam?

Hakuna mkoa wa wakristo Wala wa waislam sema mkoa flan una waislam/wakristo wengi
 
Hizi dini za Waarabu na Wazungu zimetuvuruga akili sana Waafrika.
wewe mlokole usitake kuhamisha magoli mpuuzi wewe sasa unata kujifanya mpagani wakati muda huu jumapili uko umelipigia magoti sanamu la mifuko miwili ya simenti
Na wapumbavu nyinyi tungewapiga bani kujenga makanisa Dar mji wetu kama Zanzibar wanavyofanya na mrudi kwenu huko vijijini mnafanya nini Dar, hata jina lenyewe ni la kiislamu,
Muende huko kilosa huko kuna kijiji kinaitwa ulaya mkajenge makanisa
 
Mimi sio mpagani wala sijifanyi mpagani.
 
Sawa lakini kabla ya ukiristo kuingia huko hiyo mikoa ilikuwa na dini zao za asili. Kama ilikuwa sawa kwa Ukiristo kuingia huko basi itakuwa fair kwa dini nyingine nazo kuingia. Wacha dini zipambane zile zitakazozidiwa nguvu basi zipoteze ushawishi.
huoni kuwa hiyo misikiti ndiyo itabaki magofu matupu, gen z gani wa sasa ataswali? Hawa wazee wanaoswali sasa ndio wanamalizikia, hakutakuwa na wazee wa kuswali huko mbeleni, ndio hawa vijana wa sasa wasiopenda mambo ya kipuuzi
 
huoni kuwa hiyo misikiti ndiyo itabaki magofu matupu, gen z gani wa sasa ataswali? Hawa wazee wanaoswali sasa ndio wanamalizikia, hakutakuwa na wazee wa kuswali huko mbeleni, ndio hawa vijana wa sasa wasiopenda mambo ya kipuuzi
Waislamu wapo commited na dini yao kuliko watu wa dini nyingine yoyote ile duniani.
 
Ni mbunge wa Arusha
Halafu unadhani hizo dola milioni 100 anazitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…