Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Nasikia baada ya jina lake kaandika title yake MLEZI WA WCB.
 
Kwan wananchi wa kawaida wamekatazwa kusaini hicho kitabu ?
 
Huyu kijana hayupo Sawa keep cool utaelewa. Kama umetumwa au laa
 
Muache amalizie fungate....
 
Makonda, sio raia wa kawaida, ni mkuu wa mkoa wa zamani, yupo kwenye hadhi ya wakuu wa mikoa wastaafu, makada wa chama kama Yusuph Makamba, Ole sendeka, Agrey Mwanri, Hata akija Lazaro Nyarandu, itifaki inamruhusu kusaini, hawa watu ni somebodys kwenye jamii, kutokana na nyadhifa walizowahi kushika,

Akija Mo, Bahkresa, Hata Diamond,watapewa nafasi,
 
Nadhani kitabu cha maombolezo kinasainiwa na watu maalum tu, yaani viongozi wakuu walioko madarakani & wastaafu, wageni maarufu, ila kwa hadhi ya Makonda kwa sasa bado anastahili kusaini, sbb Mzee Mkapa alimsaidia kama kijana wa CCM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…