Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Nadhani kitabu cha maombolezo kinasainiwa na watu maalum tu, yaani viongozi wakuu walioko madarakani & wastaafu, wageni maarufu, ila kwa hadhi ya Makonda kwa sasa bado anastahili kusaini, sbb Mzee Mkapa alimsaidia kama kijana wa CCM..

Huyu anasaini kwa niaba ya wajumbe wote walioshiriki kukata umeme
 
Ni raia mwema wa Tanzania
 
Hata pierre likwid alienda kusaini. Pata ka umaarufu tu utapita sehemu zote muhimu bila bughudha
Mtanzania yeyote ni ruksa ku-sign. Hata wewe chukua kalamu yako ya Obama uende uweke sahihi.
 
Mkuu tizama vizuri hiyo picha ya marehemu hapo juu halafu ilinganushe hapo chini kwa mkapa.ya chini mkapa ana kipara na ya juu ina afro iliyojaa hivyo ni tukio lingine tofauti na pia angalia utofauti wa hivyo vitabu..asante alafu uache unaaa
 
Kama alivosaini warioba, sumaye, mzee msekwa, piere likwidi mlevi na raia wengine wa kawaida.
 


Anasaini kama Bashite aliyeghushi vyeti na kujiita Makonda
 
Kiongozi wa UVCCM enzi za BWM akiwa presidaaa. Swali lingine tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…