Makonda anasaini kitabu cha maombolezo kama nani?

Wewe Jamaa ni mgeni wa mambo kwani kuwe alama ktk kitabu cha msibani mpaka uwe kiongozi aibu yako
 
Pale bashite anapomuona "mtu wa hovyo hovyo" anatia saini kwenye kitabu cha wageni kwenye msiba wa Ben,
Nikikutana nae leo hapa mjini bashite lazima ale vibao vyangu, alitudhalilisha sana wanywaji kutuita watu wa hovyo hovyo wakati yeye ndo mtu wa hovyo kuvamia studio za watu na wahuni wenye silaha za kivita,
 
Itakuwa anasaini kama Bashite.
 
Hapa itabidi wajumbe watupe msaada wao tena maana ni watu muhimu sana..
Umetoa Hoja Muhimu Na
Hoja Imeungwa Mkono Mwenyekiti
Tuwaite Wajumbe Wa Kigamboni
Kuna Mgongano Wa Maslahi Huku 😀😁
 
Makonda Ni mpango wa mungu, Ni Kama yusufu..atakuja kuwa kiongozi mkubwa Sana hapa tz..time will tell
 
Hata wewe hujakatazwa utapa kisukari kwa kuchukia Makonda
 
Mkuu wa mkoa mstaafu
 

Nafikiri alisaini kama kiongozi mstaafu
 
Uliza na Kikwete na wengine wengi wasiokuwa kwenye madaraka wanasaini kama akina nani?
 
Fame drunk.

Ameondoka madarakani lakini bado ni celeb.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…