Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hitler na Mussolini waliingia madarakani kwa hadaa za hivi hivi, walichokuja kukifanya Dunia na nchi zao zilijuta.Mambo yaleyale yaliyopita yanaanza kujirudia tena. Huyu mkuu akipewa madaraka makubwa ni hatari, hakuna atakayekuwa na sauti mbele yake.