Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
UONGO MKUBWA.Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua.
Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio wengi wameweka mgomo. Kila analoelekeza hakuna anayelitekeleza badala yake wanasubiri aondoke na kamera zake na magari ya tours aliyolazimisha yaambatane naye.
Kwenye mikutano hata viongozi wa CCM wamegoma kushirikiana naye ; mkurugenzi ameshapishana naye kifikra na sasa hivi kila mtu anafanya awezavyo.
JPM alipoona udhalilishaji unakuwa mkubwa aliachana na huyu bwana mdogo. Sasa hivi anachofanya ni kutaka mawaziri na Mhe. Rais apeleke wale anaoona yeye anaweza kufanya nao kazi. Je, kila Mkuu wa Mkoa akiamua kuwachagua wa kushirikiana nao tutafika?
UNAKUAJE MWANAUME, PENGINE BABA, UNAKUA LIONGO ??.
NI ILI UISHI?? MBONA KUNA MISHE KIBAO ZA KUTUINGIZIA KIPATO.