Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

Unadhani kwanini alitolewa uenezi ? Na hata hapo atatolewa pia, mark my word, hata yeye sio msafi hivyo asitumie njia ya kutukana watumishi hadharani ili ajisafishe kwa wananchi wajinga , kuna moja hapo linacheka cheka tuu kama halina akili na ndio hao anao wawini makonda lakin hawezi kuwawin intellectuals
Hawa watumishi wanaochepusha mitandao ya malipo ya serikali na kutengeneza mifumo yao na kutia Kodi zetu mfukoni!
Ata mimi ukinipa nafasi nalala nao mbele!
 
Hahaaa wajinga wengi sana nchi hii ,huko sio kunyosha bali ni kutafuta kiki kisiasa anaonekana anajiandalia jimbo
Si tu wajinga nchi hii inawapumbav wengi sana,yani kiongozi anaposhuka kwa wananchi kutatua kero zao anaonekana anatafuta kiki za kisiasa,sijui alipaswa kutumia njia zipi mbadala wa hiyo aitumiayo sasa maana matatizo ya hao wananchi si ya jana wala juzi,na taasisi zote zipo lkn zimeshindwa kutatua kero hizo sasa ,mlitaka Makonda afanyeje?
kiongozi ukigusa maisha ya wananchi,sifa zinakuja tu automatically ambayo kwenye siasa ni political mileage,.poleni kwa kuteseka😅
 
Niwaambie kitu kimoja, The basis of this ni wapiga kura wengi (Ambao ni wananchi masikini na wasio na elimu), wanapenda watumishi kudhalilishwa, in the thoughts of that their misery is a results of public employees, kwahio mtumishi kudhalilishwa kwao ni furaha as if wanataka waende both to the ground, na hii ndio essence ya wanasiasa kufanya hivi.

Jambo Hili lilianza enzi za Magu( and other politicians wakaona it works katika ku gain Political Popularity), so kila mwanasiasa anafanya.. hata Ka DC unakuta anafanya vitu kama hivi.

Tuelimishe watoto wetu, watumishi wa umma sio chanzo cha umasikini wetu, wao ni watumwa tu.
 
Kwa hiyo unaamini matatizo yanaisha kwakutukana na kuwadhalilisha watu?

Umewahi kumsikia Rais akimtukana mteule wake aliyevurunda?

Mke wake anahusika vipi kwenye kazi? Kwa hiyo kuwatukana waliopo chini yake ndio maji yametoka? Ndio huduma za afya zimepatikana?

Tusitetea ujinga, mtu yeyote mwenye akili timamu awezi kushangilia matusi na udhalilishaji wa aina ile.
Jaribu kuifuatilia mikutano anayofanya Makomda na wananchi wake,nafikiri unaweza kuona na kujifunza mambo ya msingi anayofanya badala ya hili umalojaribu kulitetea ambalo kimsingi halina tija.
 
Mambo yaleyale yaliyopita yanaanza kujirudia tena. Huyu mkuu akipewa madaraka makubwa ni hatari, hakuna atakayekuwa na sauti mbele yake.
Kwahiyo mnataka watumishi wezi na wakandamiza haki za wananchi waendelee kuwa na sauti ili raia waendelee kunyanyasika!hakika nchi hii ina wapumbavu wengi.Makonda kandamizia hapo hapo,bado wanahema😂
 
Niwaambie kitu kimoja, The basis of this ni wapiga kura wengi (Ambao ni wananchi masikini na wasio na elimu), wanapenda watumishi kudhalilishwa, in the thoughts of that their misery is a results of public employees, kwahio mtumishi kudhalilishwa kwao ni furaha as if wanataka waende both to the ground, na hii ndio essence ya wanasiasa kufanya hivi.

Jambo Hili lilianza enzi za Magu( and other politicians wakaona it works katika ku gain Political Popularity), so kila mwanasiasa anafanya.. hata Ka DC unakuta anafanya vitu kama hivi.

Tuelimishe watoto wetu, watumishi wa umma sio chanzo cha umasikini wetu, wao ni watumwa tu.
Nonsense!
 
Kwahiyo mnataka watumishi wezi na wakandamiza haki za wananchi waendelee kuwa na sauti ili raia waendelee kunyanyasika!hakika nchi hii ina wapumbavu wengi.Makonda kandamizia hapo hapo,bado wanahema😂
Hapana. Tunataka watumishi wawajibike na inapotokea wamefanya makosa wapewe adhabu wanayostahili bila kuonewa na bila kushushiwa hadhi yao mbele ya jamii. Tunataka tufanye kazi kwa weledi (kwa kumheshimu miiko ya kazi) - kwa kuwatumikia wananchi - na si kwa mihemko, wala kuonyesha ubabe.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati udhalilishaji na uwajibikaji na kutafuta sifa kwa wananchi wajinga , unaweza kuwajibika na kuwajibisha bila makamera na udhalilishaji mbele ya halaiki na mambo yakaenda, nje na hapo ni kutafuta sifa tu
Hawa watumishi wanaochepusha mitandao ya malipo ya serikali na kutengeneza mifumo yao na kutia Kodi zetu mfukoni!
Ata mimi ukinipa nafasi nalala nao mbele!
 
Kuna tofauti kubwa sana kati udhalilishaji na uwajibikaji na kutafuta sifa kwa wananchi wajinga , unaweza kuwajibika na kuwajibisha bila makamera na udhalilishaji mbele ya halaiki na mambo yakaenda, nje na hapo ni kutafuta sifa tu
SINDANO IMEWAINGIA BADO LEMA
 
Kwani yeye ni msafi? Au unasahu wizi wake kudanganya ajengewe nyumba na GSM kwa kudanganya ni ya mzee magufuli? Mbona naye ni mchafu tuu sema hana busara.
Mtu mmoja kasema msafara wake wenyewe ni uhalifu. Jamaa anasumbuliwa na ushamba wa KISUKUMA
 
Back
Top Bottom