Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

Mi ni mtumishi wa serikali tena ni mkuu wa Idara huku mikoani nilipo. Kama Makonda angekuwa kwenye mkoa wangu aniambie upuuzi au huo usenge aliomwambia yule mwanamke namtukana na kushuka au kuondoka alipo. Hawezi nidharirisha kiasi hiko kwani yeye nani?

Nilimuona wakati akiwa Katibu mwenezi alikuja huku mkoani kwetu, mwambieni aache shobo. RC ni mtu mdogo tu na yeye hana jipya. Yeye sio Mungu hadi atudhalilishe hivyo.
 
Hatutaki kura za watu wenye upeo mdogo. Isitoshe kwa uchaguzi gani ambao kutakuwa na kipimo Cha kweli Cha matakwa ya wananchi?
 
Watu mna chuki binafisi na makonda kiricho tokea nijambo la kawaida huwezi kuulizwa swali badala ya kujibu unaanza kujinyentuwa nyentuwa kanakwa unatongozwa eti utazame tu nyooo
 
Acha uongo wewe. Ngojeni Makonda awaumbue dhulumani, fisadi na wazembe. Subirini shindano iwaingie.
 
Unateseka ukiwa wapi🤣.
Hapo bado ni RC na unateseka namna hiyo, ngoja awe presdaa ndiyo ufe kabisa🤣
 
 
Acha upotoshaji. Tatizo kubwa la Local gorvenment ni Mchengelwa. Watu hawamuheshimu kabisa. Kesho nitaleta uzi wa namna watumishi wa Tamisemi wanamdharau.
 
Yaani wewe jamaa ni lijinga sana. Hivi wizi kama ule ulioripotiwa na Chamburo hauuoni???? Idiot mkubwa watu ka ninyi sijui kwanini mama yako hata haku abort tu au mshua angemwaga auti
 
You're correct kabisa yaani.

Huyu mwandishi ni anatumia roho mbaya tu.

Na hiki alichoandika ndiyo uhalisia wa roho mbaya tuliyo nayo waafrika, yaani hapo ndipo roho kwatu kuona mwingine akiharibu.
 
Yaani wewe jamaa ni lijinga sana. Hivi wizi kama ule ulioripotiwa na Chamburo hauuoni???? Idiot mkubwa watu ka ninyi sijui kwanini mama yako hata haku abort tu au mshua angemwaga auti
Kwa hiyo unaamini matatizo yanaisha kwakutukana na kuwadhalilisha watu?

Umewahi kumsikia Rais akimtukana mteule wake aliyevurunda?

Mke wake anahusika vipi kwenye kazi? Kwa hiyo kuwatukana waliopo chini yake ndio maji yametoka? Ndio huduma za afya zimepatikana?

Tusitetee ujinga, mtu yeyote mwenye akili timamu awezi kushangilia matusi na udhalilishaji wa aina ile.
 
Pole sana kwa kuwa na uelewa mdogo wa mambo aiza kwa sababu wewe ni moja ya waathirika wa matukio mabaya ya Makonda. Sisi tukiangalia Makonda hajamtukana mtu yeyote ambaye hana makosa. Kinachotokea wale wasiokuwa na maadili, wazembe lazima wakutane na mkono wake. Ni muhimu kutambua maendeleo hayaji kwa kuchekeana
 
Makonda hajawahi kuwa kiongozi mzuri ni hovyo tupu!
 
Manispaa na Halmashauri zimejaa watendaji wapuuzi sana na vidigrii vyao vya OPEN UNIVERSITY. Wengi wajinga sana wanatabia mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…