Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

UONGO MKUBWA.

UNAKUAJE MWANAUME, PENGINE BABA, UNAKUA LIONGO ??.

NI ILI UISHI?? MBONA KUNA MISHE KIBAO ZA KUTUINGIZIA KIPATO.
 
kuna watu mpaka leo wanaamini ili uwe kiongozi mzuri lazima UFOKRFOKE Kama yuleee
Mbona ni ukweli uliona wazi.


Samia aliyewaambia kuleni Kwa kamba..sindo uyouyo alifoka. "Stupid "...Bada ya majizi kumpiga Kona zote?.


Watu wa aina yako wenye high level of incompetence, negligence , hypocrisy , Laziness ,HUWA NI LAZIMA WAMCHUMIE MTU AINA YA JPM, MAKONDA , MIMI NA WENGINE WA AINA HII.
 
wamuangalie kwa makini sana, anachofanya, ili apate pesa kwa wafanyabiashara, anajifanya yupo karibu na wafanyabiashara na ndio wale walimpa magari ya utalii kwenye msafara wake bure pengine, atanyanyasa sana wafanyakazi, ili wafanyabiashara wamletee pesa, apate nafasi ya kuwa nao karibu awapige pesa manake kama ukiwa kinyume naye tu lazima atakumind, ndio njia walitumia sana wakiwa na sabaya kupora pesa. wafanyabiashara wa arusha wajiandae kumpa sana pesa, na wafanyakazi wa serikali arusha wajiandae kuumia. mfanyabiashara hata akiwa na kosa, wa kulaumiwa atakuwa mfanyakazi wa serikali.
 
Somesha watoto kaka, hutachukia watumishi.
Yani nisomeshe watoto ili kesho waje kuwa watu wa hovyo wasiojali maslahi ya watanzania wenzao kama watumishi wa sekta za umma.
Ubinafsi na roho mbaya ndio zinawasumbua na kuwatia upofu na msione madhila wanayopata wananchi kutoka kwa watumishi wezi.
Nonsense😎
 
Wanaomlaumu Makonda mnakosea sana, yeye alishajisemea kabisa hawezi kubadilika akimaanisha anayoyafanya kwake anaona ni sahihi kabisa.

Toka wameanza kudhalilisha watumishi wenzao wa umma hadharani yeye na Mwendazake wake kama nchi tumefaidika na nini?

Kiongozi badala ya kusikiliza uliyemuuliza akujibu anavyotaka kueleza unaingilia anachoongea na kutaka aongee unachotaka wewe ili iweje sasa?

Kiongozi unatafuta sifa kwa kuwadhalilisha na kuwafokea wenzako hadharani ni uongozi wa wapi huo?

Kutwa kucha ni kujisifu na kutoa maneno ya kejeli kwa watumishi wa umma wenzako hadharani ili iweje?

Makonda kama Makonda hana kosa maana ndivyo alivyo na ndio hulka za watu wasiojiamini, wasio na uwezo na waliokosa ubunifu katika utendaji wao (defensive mechanism). Wanatafuta wanyonge wawatumie kupanda daraja

Nani mwenye kosa?

Mamlaka iliyomteua na kumuweka hapo alipo ndo ijiangalie na kujitafakari

Sent from my SM-E045F using JamiiForums mobile app
 
Kauli yake hii hapa πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C7bYck4KRF6/?igsh=MWwxN2o3NWc4dG1jbw==
 
Kichwa bustani ya kufugia nywele!
 
Nakuunga mkono mkuu, hata mimi kipindi niko halmashauri nilikuwa namtamani sana aletwe mkoani kwetu, nisingekubali ujinga huo!
 
Pole sana Wasukuma tumeshagakufanya nini wewe mzeee, jichunguze vzr kama upo sawasawa kichwani huenda kuna nati zimelegea
Huyo Wasukuma walimfira wakamkataa ndo maana anawivu sana!
Kumbe kuna wajinga wanamchukia Makonda kwa sababu ni Msukuma! Mijitu mijinga sana nchi hii!
 
Hiki anacho fanya kudhalilisha wenzie kisa anapigiwa makofi na wajinga ikoje hii?hampi dada wa watu nafasi ya kuongea yeye ni vichambo tuu ya wanawake bwana maana kwa tabia ile bora makonda nimuite mwanamke tuu.
Mtamaliza majina yote kumuita ila bado yupo palepale na anazidi kuwapa shida
 
JPM hakuachana na Makonda bali ni yeye mwenyewe Makonda aliomba ridhaa ya kugombea Ubunge kupitia CCM ndo maana akapoteza sifa ya kuendelea kuwa Mkuu wa Mkoa, na hiyo ni kwa Mujibu wa Waraka namba moja wa Rais wa mwaka 2000 unavyoelekeza. Kwa hiyo waambie waliokutuma kumchafua Makonda wawe wanakupa hints za kutosha kabla hujakurupuka, mwacheni Makonda apige kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…