Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga.
Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda