Kwanini time isimshitaki mahakamani?Hio tume yenyewe ni ya kipumbavu
Kulikuwa na nini hadi kufikia hatua hii? Sijawahi kusikia Makonda kuitwa na Tume ya haki za binafsmu, sikusikia hearing yoyote, ghafla nasikia tu Makonda anedharau Tume. What's happening?Makonda sio Kiongozi wa Kuchaguliwa na wapiga kura-Anawekwaje kwenye jukwaa la Kuelekea kwenye Uchaguzi 2025? 🤔🧐
Awali ya yote, mada 'imebubujikwa" na Uwongo...Makonda ameidharau vipi Tume? Je, kuna ushahidi kwamba ameidharau?
itoshe kusema Tume haina meno, yaani Tume haishughulikii uwajibishaji.
Tusidanganyane
What is Happening?Kulikuwa na nini hadi kufikia hatua hii? Sijawahi kusikia Makonda kuitwa na Tume ya haki za binafsmu, sikusikia hearing yoyote, ghafla nasikia tu Makonda anedharau Tume. What's happening?
Kuelekea uchaguzi jimbo la Arusha mods hawajakosea.What is Happening?
Upotoshaji na Siasa za nusu ukweli.
Swali langu langu ni jinsi gani hii mada imepitaje pitaje na kuwekwa kwenye "Kuelekea uchaguzi 2025.
Makonda is not an elected official and neither is there a correlation between what has transpired and Elections.
Is Jamiiforums in cohorts with spin doctors and or perpetuating Misleading Information and Disinformation?
...Is hard to tell.