Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Baada ya hapo kesi itaendelea upande mmoja, polisi hawatahusika kumtafuta wala kumkamataNi kweli kuwa Mahakama zetu kwa kiasi fulani hazina meno kwa watu fulani LAKINI katika hili sioni tatizo.
Makonda ni mtuhumiwa lakini barua ya wito haijamfikia kwa kuwa hakuna aliyemuona ili amkabidhi wito rasmi...
Mkuu Bujibuji Simba Nyanaume hebu funguka, aliharibu vipi hizo nyumba?Jamaa ni mchawi sana anayejificha kwenye mwavuli wa ulokole.
Aliharibu nyumba ya Mzee Sitta, nyumba ya Mkwere, Magu etc.
Jamaa ameshampumbaza akili Farisayo Mkuu
KichawiMkuu Bujibuji Simba Nyanaume hebu funguka, aliharibu vipi hizo nyumba?
Tatizo haujataka kusoma uelewe nyie watoto wa siku hizi.Acha UCHAWA ,Jacob Zuma alikaidi wito wa mahakama,hatimaye mahakama ikatoa amri akamatwe.
Ahsante kwa ufafanuzi mkuu, mahakama huwa haikurupuki katka mahamuzi yakeNi kweli kuwa Mahakama zetu kwa kiasi fulani hazina meno kwa watu fulani LAKINI katika hili sioni tatizo.
Makonda ni mtuhumiwa lakini barua ya wito haijamfikia kwa kuwa hakuna aliyemuona ili amkabidhi wito rasmi.
Hatua iliyochukuliwa ili wito umfikie kwasasa ni sahihi.
Baada ya tangazo gazeti, kitakachofuata ni kutafutwa na polisi popote alipo.
Nafikiri kwa hili sio sahihi kuilamu mahakama.
Katika sheria mimi ni sawa na ngumbaro tu.
Mnalaumu mhimili bila sababu yoyote. Raia kibao wanaitwa mahakamani wanaingia mitini. Sio jambo jipya hilo. Huonagi kwenye magazeti wito wa kuitwa mahakamani? Mara nyingi hao huwa wamekula kona baada ya kutafutwa kwa njia za kawaida. unaona ni jambo jipya kwa sababu linahusu mtu prominent!Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake?
Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya.
Hakimu anadai anapeleka tangazo kwenye mbao za matangazo na nyumbani Kwa mtuhumiwa. Je, watuhumiwa wote wanafanyiwa haya? Au Kuna watanzania daraja A na B?
Mahakama inalega Hadi wanyonge wanaiona siyo sehemu ya HAKI. Polisi wapo, wanashindwa kumkamata?
Kukimbia nini?Mpango wa kumtorosha umefikia wapi? Isije kuwa ameshatojka nje nchi
Alitembea na wake zao, sivyo? Hebu ieleze vizuri Mahakama Mkuu.Jamaa ni mchawi sana anayejificha kwenye mwavuli wa ulokole.
Aliharibu nyumba ya Mzee Sitta, nyumba ya Mkwere, Magu etc.
Jamaa ameshampumbaza akili Farisayo Mkuu
Mbona ye hakujitabiria kuwa ataishi mapangoni,Makonda alimtabiria SSH huu urais alionao sasa. Aliiva vizuri na rais mtarajiwa. Kama ulikuwa ni shabiki mmojawapo wa wale walionyanyaswa na JPM jipange haswa.
Nadhani nguvu ya rais aliyeapa umeshaiona kwa Ndugai na jeuri yake yote ya awamu ya tano. Rais anayekuwa ameapa ana nguvu na ushawishi mwingi sana.