Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

Utetezi wakijinga.mbinguni ulishafika wewe?.
Kubenea anatafuta tu kesi za madai ili apate kitu chochote kile in return! Kama kweli Yuko na vielelezo halisi vya madai yake kua Makonda ana Jinai ayapeleke kituo chochote cha police hata kidogo,na Nina hakika wahusika watapata taarifa na kulifanyia kazi Mara moja! Na Kama yeye anaogopa basi anipe Mimi hivyo vielelezo vya Jinai na nitaviwasilisha kwa wahusika na vitafanyiwa kazi!! Tuishi kwa Imani!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake?

Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya.

Hakimu anadai anapeleka tangazo kwenye mbao za matangazo na nyumbani Kwa mtuhumiwa. Je, watuhumiwa wote wanafanyiwa haya? Au Kuna watanzania daraja A na B?

Mahakama inalega Hadi wanyonge wanaiona siyo sehemu ya HAKI. Polisi wapo, wanashindwa kumkamata?
Polisi wote wanamtii nani atamkamata ?

Uyu_Binadam_kama_angekuwa_Uwaziri_wa_Mambo_ya_ndani_au_Rais_Sijui_Tanzania_ingekuwaje_%3F_%F0%...jpg
 
Kubenea anatafuta tu kesi za madai ili apate kitu chochote kile in return! Kama kweli Yuko na vielelezo halisi vya madai yake kua Makonda ana Jinai ayapeleke kituo chochote cha police hata kidogo,na Nina hakika wahusika watapata taarifa na kulifanyia kazi Mara moja! Na Kama yeye anaogopa basi anipe Mimi hivyo vielelezo vya Jinai na nitaviwasilisha kwa wahusika na vitafanyiwa kazi!! Tuishi kwa Imani!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Polisi wapi?
 
hivi zamani nlishawahi kusikia neno "Bushroya" hivi lina maana gani hiro neno(in kure kwettu karibu na uraya's voice)....Upotoshaji haujengi hata kama una mapenzi au chuki binafsi na mtu si vizuri kutumia fursa hiyo kupotosha watu kwa mabandiko usiyokuwa na utaalamu nayo
 
Kama waliamua na wao kujiingiza kwenye siasa za maji taka unategemea nini wacha waaibike tu hakuna namna , na salamu zimfikie prof wao Juma , safari hii mama anataka mwanamke habari ndio hiyo ajipange
 
Back
Top Bottom