Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Thibitisha kwa kuweka baadhi ya mifano hai, lakini pia waweza kuisaidia mahakama.Huyu mshirika na mfadhili wa Musiba hawezi kupumzika asilani!
Unamdanganya!
Damu za watu wengi mno zinamlilia.
Amepumzika ila wewe ndo una shida. Ana miradi kadhaa na nyumba pia. Hana shida. Hizo damu ulimwekea wewe? Acheni kujifariji na njaa zenu.Huyu mshirika na mfadhili wa Musiba hawezi kupumzika asilani!
Unamdanganya!
Damu za watu wengi mno zinamlilia.
Anaropoka tu huyo. Hayo maneno watu wanazungumza miaka na miaka wakiambiwa wapeleke ushahidi wanakalia mikia yao.Thibitisha kwa kuweka baadhi ya mifano hai, lakini pia waweza kuisaidia mahakama.
The obvious can not be proved!Thibitisha kwa kuweka baadhi ya mifano hai, lakini pia waweza kuisaidia mahakama.
Tatizo bei ya nkaa!! BE YA NKAAAmenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.
Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
Hakuna aliyewahi kudhihirisha hili zaidi ya kelele nyuma ya keyboardThe obvious can not be proved!
Sawa.Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.
Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
Kama inakuja akilini!!... sana....
itakuwa anamzungumzia ben saa 8.kutekwa kwa roma na mo n.kThibitisha kwa kuweka baadhi ya mifano hai, lakini pia waweza kuisaidia mahakama.
Hakuna asiyejua kupotea kwa Ben saa nane,je ni Makonda alimteka.itakuwa anamzungumzia ben saa 8.kutekwa kwa roma na mo n.k
ni suala la karma tu.yaani HATIA HAIFI itapita hata miaka 100.ila ipo siku utakuja kulipwaAnaropoka tu huyo. Hayo maneno watu wanazungumza miaka na miaka wakiambiwa wapeleke ushahidi wanakalia mikia yao.
kwanza tukubaliane kuwa ben kwa sasa ni marehemu.maana hakuna mtu aliyepotea siku zote akaja kuwa hai.pili kama sio makonda anayehusika atakuwa anawajua waliohusika.bila kumsahau mwigulu.Hakuna asiyejua kupotea kwa Ben saa nane,je ni Makonda alimteka.
Maneno ya mkosaji.ni suala la karma tu.yaani HATIA HAIFI itapita hata miaka 100.ila ipo siku utakuja kulipwa