Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

Anapitia kipindi kigumu sana , kwa kifupi ni mzururaji tu mtaani mwenzie Ali Hapi yupo Shamabani anatengeneza ajira kwa vijana
Kipindi kigumu makonda? Anazunguka mtaani kuwaonesha yupo sana. Hana wasiwasi na hana baya. Angekuwa anajifungia ndani ndo mngesema anaogopa.
 
Jack Daniel naishi kwa Imani, Sina chembe ya uuaji, Sina damu yeyote inayonililia.

Hoja zangu na maswali yangu, ni kutaka wanajamvi mthibitishe kwa Yale ambayo huwa nasikia kuhusu Makonda.

Sasa kunitukana Wala haikusaidii, Mimi ni mwanaume unavyosema .
Your husband Makonda unanikosea mno Mimi ni mume wa mtu,baba wa watu na si kwamba sijui kutukana Bali huwa naona Haina maana yoyote zaidi ya kujifedhehesha tu.

inawezekana ulipoteza ndugu na jamaa huku mkimuhisi Makonda ndiye muhusika naona intelligence ya nchi isingekaa kimya ingemchukulia hatua.

Jifunze kuishi kwa heshima na adabu maisha ni mafupi mno
Kwaheri.
 
Huyo hajamalizana na wengi sana. Unafikiri matajiri aliowabambikia kesi na aliowapora mali zao wamemsahau?

Mwambie Manji karudi na GSM hajamalizana nae.
@FaizaFoxy punguza uchochezi au Dini yako hairuhusu kusamehe?

Why utangaze kisasi hadharani
 
Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.

Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
So what, huyu ingekuwa ni nchi za ulimwengu wa kwanza, ilibidi awe lupango!

He was a henchman for Dictator maghufuri! Hakutakiwa kuwa huru kitaa.

Kuna watu wanazaliwa na ukuu, wengine hufanya kazi kupata ukuu, wengine hupewa TU!

This guy alipewa ukuu TU.

Hakuna kitu Cha maana alichofanya, ambacho kipo mpaka Leo, zaidi ya wizi TU.
 
Huyo hajamalizana na wengi sana. Unafikiri matajiri aliowabambikia kesi na aliowapora mali zao wamemsahau?

Mwambie Manji karudi na GSM hajamalizana nae.
Hakuna aliowabambikia kesi au kuwapora wangeshamshtaki. Manji hoi tu madawa yamemchosha hana jipya. Gsm wapo hapa miaka kibao na wanajua anaishi wapi. Hayo meneno yenu ni yale yale tu ya wakosaji. Hamna jipya.
 
So what, huyu ingekuwa ni nchi za ulimwengu wa kwanza, ilibidi awe lupango!
He was a henchman for Dictator maghufuri!
Hakutakiwa kuwa huru kitaa
Kuna watu wanazaliwa na ukuu, wengine hufanya kazi kupata ukuu, wengine hupewa TU!!
This guy alipewa ukuu TU.
Hakuna kitu Cha maana alichofanya, ambacho kipo mpaka Leo, zaidi ya wizi TU.
Watu wote hupewa Ukuu tu. Tafuta Mkuu wa Wilaya au Mkoa ambaye alichaguliwa na wananchi. Au hujui? Jamaa hana baya.
 
Hakuna aliowabambikia kesi au kuwapora wangeshamshtaki. Manji hoi tu madawa yamemchosha hana jipya. Gsm wapo hapa miaka kibao na wanajua anaishi wapi. Hayo meneno yenu ni yale yale tu ya wakosaji. Hamna jipya.
Ni muda tu, kuna watu huwa hawakurupuki. Kuna kina Ridhwan, unafikiri wamesahau alivyowadhalilisha? Analiwa timing tu huyo bashits. He is still in deep shit.
 
Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.

Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.

Hana tatizo na mtu?!
 
Ni muda tu, kuna watu huwa hawakurupuki. Kuna kina Ridhwan, unafikiri wamesahau alivyowadhalilisha? Analiwa timing tu huyo bashits. He is still in deep shit.
Hizi ndizo habari nazitaka,

Umemtaja Ridhiwan, na Kuna pahala ulimtaja Manji pia GSM.

Yaani unaishi kwa hisia tofauti na wahusika, wewe ni shahidi tayari Makonda akifa Leo hii
 
@Jack Daniel naishi kwa Imani, Sina chembe ya uuaji, Sina damu yeyote inayonililia.

Hoja zangu na maswali yangu, ni kutaka wanajamvi mthibitishe kwa Yale ambayo huwa nasikia kuhusu Makonda.

Sasa kunitukana Wala haikusaidii, Mimi ni mwanaume unavyosema .
Your husband Makonda unanikosea mno Mimi ni mume wa mtu,baba wa watu na si kwamba sijui kutukana Bali huwa naona Haina maana yoyote zaidi ya kujifedhehesha tu.

inawezekana ulipoteza ndugu na jamaa huku mkimuhisi Makonda ndiye muhusika naona intelligence ya nchi isingekaa kimya ingemchukulia hatua.

Jifunze kuishi kwa heshima na adabu maisha ni mafupi mno
Kwaheri.
Unamtetea Makonda? Huwezi kuwa na akili nzuri.
 
Back
Top Bottom