Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

kwanza tukubaliane kuwa ben kwa sasa ni marehemu.maana hakuna mtu aliyepotea siku zote akaja kuwa hai.pili kama sio makonda anayehusika atakuwa anawajua waliohusika.bila kumsahau mwigulu.
Unaweza kutaja mabosi wa 3 wa Makonda bila kumtaja mh Dr maza? na unajuaje Kama maagizo alikuwa hapewi na mtukufu Dr Maza, au amewahi kumkana?
 
Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.

Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
Anapitia kipindi kigumu sana , kwa kifupi ni mzururaji tu mtaani mwenzie Ali Hapi yupo Shamabani anatengeneza ajira kwa vijana
 
Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa.

Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
Akamatwe.
 
Back
Top Bottom