Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

Ni muda tu, kuna watu huwa hawakurupuki. Kuna kina Ridhwan, unafikiri wamesahau alivyowadhalilisha? Analiwa timing tu huyo bashits. He is still in deep shit.
Hayo maneno ni miaka miwili sasa yanasemwa. Hakuna aliowadhalilisha. Ukiona hivyo ilikuwa ni kweli. Hayo maneno mengine ni kujifariji tu. Jamaa yupo Town anaendelea kufanya mishe mishe zake kama kawaida.
 
Kamaliza kesi yake na GSM?
 
Makonda ana makosa makubwa ikiwepo kuteka na hata kuuwa baadhi ya watu Ben Saanane na wengine, usitetee usiyoyajua.
Mkuu hujui kitu Kaa kimya tu.
Mimi Niko mahali ambako nahitaji kuthibitisha
 
Back
Top Bottom