Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili hana shortcut way ya kurekebisha mambo yake Ili mradi bado yuko hai sasa. Anapaswa kufanya moja au yote ya haya 👇yafuatay;
1. Atoke na ajibu tuhuma zake (akanushe au akubali) kwa ufasaha bila ubabaishaji Ili watu wamwelewe....
2. Kukubali na kubeba matokeo ya matendo yake ni unyenyekevu na ni kinyume cha kiburi. Kutoka hatua hiyo, basi aende mbele zaidi aache "kiburi cha uzima...."
Achukue hatua ya wazi kabisa, akimbilie msalabani pa mwokozi Yesu Kristo akiwa na moyo thabiti wa Toba. Mungu wa mbingu na nchi ni wa rehema sana, atamrehemu na kumsamehe tu. Na akichukua hatua hizi, Tundu Lissu yeye ni nani hata asimsamehe iwapo Mungu amesamehe..?
##Shida yetu wanadamu hasa tunaojiona tuna ulinzi fulani wa kidunia kama wa mali na madaraka ya kiutawala wa kiserikali za hapa duniani, kiburi hututawala, huwa tunamdharau na kudhani tuko juu ya Mungu alitetuumba. Lakini hatujui kuwa Mungu hadhihakiwi na apandacho mtu ndicho avunacho...