Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

Makonda anaweza kuishitaki I.T.V kwa kurusha tuhuma dhidi yake?

Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Anaweza lakini makonda awezi kufanya zati cheap poilitics kama alivyo fanya mbowe kwa msigwa
 
Thubutu! jingalao, mbona akili bado zile zile? Hukui? Hebu mshauri afanye hivyo haraka!. Ushauri...sumu haionjwi!
Simu haionjwi ni kitisho ambacho mbowe huwa anakitumia kuwatisha wanachama wenzake hata lisu na sumaye washawahi kutishwa nacho
 
What goes around comes around !

Law of the Universe !

Usimtendee mwingine yale usiotaka wewe kutendewa !

Ukidhalilisha wazee wa watu nawe Wazee wako watadhalilishwa !
Ukiua kwa Upanga nawe utauawa kwa Upanga !!

Wanasemaga KARMA ndivyo inavyofanya kazi zake !!
Je ni kweli au ni Uongo ???!
Ngoja Tusubiri tuone !! 🙏🙌🙏
 
Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Unajua Mungu akiamua kukufichia siri zako hakuna wa kuzitoa na akiamua kuziacha hadharani hakuna wa kuzizuia
 
Wanasheria nguli mliomo humu tusaidieni ufafanuzi kwenye hili.
Iwapo chombo cha habari kimeruhusu Mtu mmoja amdhalilishe mwingine bila uthibitisho na bila kupata ufafanuzi wa aliyetajwa.
Anaweza kabisa kuishitaki, Ila amuunganishe na huyo mtoa Shutuma
 
Paul Makonda a.k.a Albert Bashite Malyangili hana shortcut way ya kurekebisha mambo yake Ili mradi bado yuko hai sasa. Anapaswa kufanya moja au yote ya haya 👇yafuatay;

1. Atoke na ajibu tuhuma zake (akanushe au akubali) kwa ufasaha bila ubabaishaji Ili watu wamwelewe....

2. Kukubali na kubeba matokeo ya matendo yake ni unyenyekevu na ni kinyume cha kiburi. Kutoka hatua hiyo, basi aende mbele zaidi aache "kiburi cha uzima...."

Achukue hatua ya wazi kabisa, akimbilie msalabani pa mwokozi Yesu Kristo akiwa na moyo thabiti wa Toba. Mungu wa mbingu na nchi ni wa rehema sana, atamrehemu na kumsamehe tu. Na akichukua hatua hizi, Tundu Lissu yeye ni nani hata asimsamehe iwapo Mungu amesamehe..?

##Shida yetu wanadamu hasa tunaojiona tuna ulinzi fulani wa kidunia kama wa mali na madaraka ya kiutawala wa kiserikali za hapa duniani, kiburi hututawala, huwa tunamdharau na kudhani tuko juu ya Mungu alitetuumba. Lakini hatujui kuwa Mungu hadhihakiwi na apandacho mtu ndicho avunacho...
 
Back
Top Bottom