Ana vituko ndio maana anazungumzwa.Hii concept ya kushushwa cheo huwa siielewi, Binafsi naona msemaji wa chama hana mamlaka yoyote zaidi ya kuwa spika ya chama na sasa Makonda kaingia katika utendaji serikalini.
Halafu huyu jamaa sijui ana nini, hapo hata akipewa uwenyekiti wa mtaa atazungumzwa na kutazamwa utendaji wake kuliko waziri.
kama anakua kitovu cha kukwamisha mandeleo iwe kwa kupandikiza chuki nk kuna ubaya gani kushulikiwaLema mtu mkubwa Sana. Yani analetewa Mkuu wa Mkoa wa kushughulika naye na sio maendeleo.
Labda waongee kwa accent ya Kisukuma.Upo sahihi, Wameru na Waarusa waonge kilugha gani?
johnthebaptist mambo vipi kada?Mangi Jaji Mfawidhi hamjaacha tu bifu na Wasukuma?
Mwamba hana shida ataingia tu kivyovyote na Mropokaji Lema awe makini
Wacha wee !!!Basi atawatesa mno na midahalo.
Angekuwa makini angemwagwa kwenye uenezi? Mtu makini anachuja maneno yake kabla hayajamtoka mdomoni kwake. Domo ponza kichwa.umenikosea heshima mkuu kwa sasa nimeshavuka UVCCM ndugu
mkuu wa mkoa kazi yake ni kumwakilisha raisi na ana majukumbu mengi kuyaorodhesha hapa ni kazi
lakina hili la matapeli wahujumu kukimbia jiji komredi anapowasili ni jambo la kawaida kwa kiongozi makini kama makonda
Aingie na tenga la Mirungi tuPaul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.
Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?
View attachment 2953669
View attachment 2953670
View attachment 2953671
View attachment 2953672
View attachment 2953675
Au aingie na puli la bangiAingie na tenga la Mirungi tu
Hata Gambo hana hamuArusha ni mkoa wakipekee hawezi akija atulie tu ale mema ya nchi wengi wanakuja na vurugu mechi . Wanatulizwa na madola,mawe. Naye atatulia tu . Tulii mtamwona
Mboga ndiyo ivyo tena hata ubunge hapati tena ile 2020 alibebwa na yule hayawani wa chatoHata Gambo hana hamu
Acha tu huu mkoa sijui ile laana ilikuja hadi mjini??Hata Gambo hana hamu
Aingie na majani ya bangiPaul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.
Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?
View attachment 2953669
View attachment 2953670
View attachment 2953671
View attachment 2953672
View attachment 2953675
Hiyo ya kwanza kwenye picha inafaa.Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.
Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?
View attachment 2953669
View attachment 2953670
View attachment 2953671
View attachment 2953672
View attachment 2953675
Laana ipiAcha tu huu mkoa sijui ile laana ilikuja hadi mjini??
Ya wameru si walilaaniwa na wazunguuLaana ipi
Kiuhalisia ingawa hataki anaitwa Daudi Albert Bashite (DAB)!Paul Alberto Bashite Makonda mwenyeji wa Koromije aliyehamia Dar ukubwani na kulelewa na Mwanasiasa fulani na baadae kwenda mkoani kilimanjaro kujisomea na kurudi Dar kwenye CCM inasemekana anatafuta staili ya kuingia Arusha baada ya kushushwa cheo na kupewa ukuu wa mkoa.
Je, tumshauri aingie na staili gani kwa "wadudu wa Arachuga?
View attachment 2953669
View attachment 2953670
View attachment 2953671
View attachment 2953672
View attachment 2953675