Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
BoraHiyo ni hatua moja katika makakati wa SGR kubinafsishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BoraHiyo ni hatua moja katika makakati wa SGR kubinafsishwa.
Unajua kwanini nchi zinafungiwa kujihusisha na baadhi ya mashindano??Siku hiyo siasa itakapoamua ni zamu ya Simba kuchukua kombe la VPL kwa namna yoyote ile ili ku balance ndio utajua hujui.
Hizo ni porojo tu,Unajua kwanini nchi zinafungiwa kujihusisha na baadhi ya mashindano??
Siasa haitakiwi kuamua chochote kuhusiana na mpira bali kuweka mazingira mazuri kuuwezesha mpira
Na hapo ndo utaamini siasa ni ujinga na haizingatii mipakaHizo ni porojo tu,
Msituchoshe na propaganda za kizamani za kutufanya kila siku kujadili jambo la mtu mmoja ilihali Taifa hili limejaa elites wa kutosha kujenga uchumi wa Nchi.njinjo njoo umtoe ndugu yako huku kilabuni