Unajua kwanini nchi zinafungiwa kujihusisha na baadhi ya mashindano??
Siasa haitakiwi kuamua chochote kuhusiana na mpira bali kuweka mazingira mazuri kuuwezesha mpira

Msituchoshe na propaganda za kizamani za kutufanya kila siku kujadili jambo la mtu mmoja ilihali Taifa hili limejaa elites wa kutosha kujenga uchumi wa Nchi.