Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Kazi kweli kweli Gwajima ka Mtumishi wa Mungu kwanini anaweka vinyongo moyoni mwake yani hajamtoa makonda moyoni kabisa, awe na kiasi na yeye aache umbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio umbea mtumishi wa mungu ana zungumza ukweli... hawezi tumia makanisa kueleza uwongo wakati kuna wanao fahamu ukweli... alafu askofu afumbie macho makanisa kutumika kusema uongo...

Mtu ana fanya toba alafu ana weka na ka uongo hapo hapo haya makanisa haya... yana tupa shaka sasa
 
Mh hilo linajulikana kuwa ule mzigo ni wa mtt wa mfalme...

Uzuri siku iz viongoz wanapiga wao kwa wao

Yan uyu akimwaga mboga mwingine anamwaga ugari

Uyo jamaa tangu awe Rc Dsm anajiona yeye ni mungu mtu viongoz mbali mbali wa chama chake anawasema ovyo ovyo kama baba ake sijui hapa ndio inadhihilisha kuwa mtt wa nyoka ni nyoka.....

All in all liishalo ni dogo kuliko linalo kuja

Stay tune Mh.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima anakinyongo mkuu mbona before sakata la kutajwa alikuwa kimya kwahyo masilahi yake yalipoguswa ndo anasema eti ukweli. Mkristo wa kweli husamehe saba Mara sabini,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a
acheni kumuonea mange lin kaandika hayo? ma akaunti feki mnaamin tu da wabongo vichwa maji
 
Kuna wakati huwa nafikilia sana huyu jamaa anapenda kiki sana yani ananyota ya kiki, japo ni RC wa mkoa 1 lkn kiki zake nchi nzima.. yajayo yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…