Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,272
Kuna wasamaria na WASAMARIA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio umbea mtumishi wa mungu ana zungumza ukweli... hawezi tumia makanisa kueleza uwongo wakati kuna wanao fahamu ukweli... alafu askofu afumbie macho makanisa kutumika kusema uongo...Kazi kweli kweli Gwajima ka Mtumishi wa Mungu kwanini anaweka vinyongo moyoni mwake yani hajamtoa makonda moyoni kabisa, awe na kiasi na yeye aache umbeya
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMange na Gwajima wamepata pa kupumulia
'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
Gwajima anakinyongo mkuu mbona before sakata la kutajwa alikuwa kimya kwahyo masilahi yake yalipoguswa ndo anasema eti ukweli. Mkristo wa kweli husamehe saba Mara sabini,Sio umbea mtumishi wa mungu ana zungumza ukweli... hawezi tumia makanisa kueleza uwongo wakati kuna wanao fahamu ukweli... alafu askofu afumbie macho makanisa kutumika kusema uongo...
Mtu ana fanya toba alafu ana weka na ka uongo hapo hapo haya makanisa haya... yana tupa shaka sasa
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums nakualika J'pili hiiNa kule UVCCM sasa hivi kuna blood ndugu wa baba
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums mkuu karibu ktk upako
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums Njoo ushuudie kilichomoKuna Mizigo gani ndani ya containers?
acheni kumuonea mange lin kaandika hayo? ma akaunti feki mnaamin tu da wabongo vichwa majiSiku ya Jumapili wakazi wa jiji la Dar es Salaam na viunga vyake mnashauriwa kukaa mkao wa kiroho maana Mtumishi wa Baba askofu Josephat Gwajima
Asiyependa kuficha maovu ataweka kila kitu hadharani
Huenda nafasi ya wote kuingia kanisani ikakosekana lakini mpango unafanywa ili ibada iwe youtube live
Kwa hisani ya Dada wa TaifaView attachment 851158
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu na weweKasahau kusema kuwa vita ya madawa ya kulevya ndio imesababisha yote haya.
Na mkoa unafanya vizuri?
Mkoa upi mbona rais alisema kuwa mapato ya dsm yalizidiwa hata na dodoma
Au tuna rais zuzu zaidi ya Makonda?
Na ni kabisa gani hilo ambalo Lilimruhusu Makonda kuongea ushuudhi?
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums Njoo tuombe pamojaMungu ana kazi sana, yani ingekuwa kila analoliomba mwanadamu Mungu angelifanya, basi dunia isingekalika.
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums Boss hupo??