Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Wapinzani uchwara walikuwa wanasema ati makontena yamejaa samani za majumbani pamoja na Toyota SUV moja,lakini kwa sasa yameshafunguliwa wamekuwa wakimya sana...Wapinzani Uchwara acheni fitna.
Na TRA wanaotaka kupiga mnada Ni wapinzani uchwara?
Halafu kwann mwanzo alikataa kama sio yake?

Wewe Na huyo Bashite mna tatizo kubwa kichwani mbaya zaidi mnajiona mpo sahihi
 
Eti Mtu anayekwenda Kanisani kila J'pili hayo ndiyo Maombi yake kwa Mungu kwa Mnunuzi halali (siyo mwizi)
Kiburi cha CCM kinafanya Wajione ni wamiliki wa kila kitu Tanzania..
Awamu ya kishamba sana hii.
Mambo ya awamu yanatoka wapi hapo sasa? Yaani wewe ukijiharishia ndo mamako kahara?
 
Wananchi walivyotaka kuwasomea Albadir waliomdhuru LISSU Vyombo vya dola vilisimama imara kuzuia hilo jambo lisifanyike kwa kuogopa waliohusika kupata madhara,sasa yeye mbona amefanya hiyo Ibada Maalum na hakukatatazwa,hii si double standard?

TRA si ni mamlaka ya Serikali,ina maana na yeye anapingana na Serikali kuwa mamlaka yake isikusanye kodi?

Upuuzi puuzi tu
 
yeah! nimeanza kuamini kuwa siku za makonda Zinahesabika sasa!
 
That's a state's kind of game play. Period...
 
Ngoja tuone kama maombi ya mvamizi wa studio, mtekaji na muuwaji yanaweza kusikilizwa.
 
kuna kamchezo kanataka kufanyika hapa.

kwa utaratibu wa TRA, kama mali inayoshikiliwa ikishindikana kupigwa mnada kwa sababu iwayo yote (kitu anachokipigania Makonda kitokee), commissioner mkuu wa TRA anayo mamlaka ya kuigawa hiyo mali kwa taasisi yoyote ya kiserekali kama msaada.

serekali na taasisi zake zipo chini ya rais. commissioner mkuu TRA ni mteule wa rais. mwenye mali ni kipenzi cha rais.

jiunge nami kwenye ku connect dots.....
 
Ayo makontena yana nini mbona jamaa anaweweseke kama ni vifaa vya shule si wafungue makontena tuone kweli
 
Mambo ya awamu yanatoka wapi hapo sasa? Yaani wewe ukijiharishia ndo mamako kahara?
Awamu hii ndiyo Imewapa viburi Wote hawa..Mfano wako haufanani na Comment yangu.
 
GSM wamemtosa na sasa hana marafiki watoa hela kwani ni kigeugeu
 
Usiumize kichwa mkuu hao wanajuana nje ndani
 
Makonda anapambana kwaajili ya wananchi husan wa DSM.Jitihada zake zimeonekana kwa mambo mengi lakin kunawatu wamejaa chuki dhidi yake .

Namtia Moyo Makonda, Endelea kupambana kwakua watu wanaona juhudi zako atakama baadhi wanachukia mafanikio yako ila wanaelewa mchangowako.
Kumbuka ata wana wa Israel walilazimisha Baraba mhalifu mkubwa achiwe huru ila Yesu aliye watendea mema muda wote asulubiwe hayo ndio ya ulimwengu huu. Chapakazi braza mwisho utavishwa taji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua katika Uzi huu..wengi mna wivu na muheshimiwa makonda, !!
 
Hivi mtu akiyanunua kisha akapata madhara mfano akatoweka, tutajuaje kuwa ni 'laana' ama ni man made 'laana'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…