witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nachomkubali bashite hana aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nachomkubali bashite hana aibu
Soma uzi vizuri kisha urudi tena.Mkuu ina maana wewe vitu vyako vikipigwa mnada utakaa kimya?
anaumwa
hana aibu sababu ni msahaulifu.. amesahau mpaka jinalake anatumia la mtumwengine
Tuwekee picha ya hotel yakeconformation. kilichomo kwenye makontena ya makonda pale bandarini ni fenicha za hotel yake hapo mwanza.. ndo mana kil siku tunasema huyo anayeitwa mwadilifu sio mwadilifu sio hivyo.tuone kwenye hili atafanyaje?
kafanya kisomo cha albadirAmeenda tena kulia kanisani...?!!
Umesikia huu ndio mnada wa kwanza kufanyika?Mkuu ina maana wewe vitu vyako vikipigwa mnada utakaa kimya?
nimekusoma... tangulia PUB agizia kesto bardiiiiiiiiii 3 wambie nakuja kulipa😛conformation. kilichomo kwenye makontena ya makonda pale bandarini ni fenicha za hotel yake hapo mwanza.. ndo mana kil siku tunasema huyo anayeitwa mwadilifu sio mwadilifu sio hivyo.tuone kwenye hili atafanyaje?
Kama ni vyake mbona alishindwa kuvilipia kodi? au akanivununuwe mnadani,,siku ya mnada na yeye awepo,,Mkuu ina maana wewe vitu vyako vikipigwa mnada utakaa kimya?
Kama kweli ni vifaa vya mashuleni basi TEA walipie hizo kodi na kugawa kwenye shule zenye mahitaji ya vifaa hivyoTaarifa huripotiwa kwenye vyombo vya habari kama runinga, redio, magazeti, majarida na mitandao ya kijamii. Iliporipotiwa taarifa ya uingizwaji na uwepo wa makontena yenye jina la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda mwanzoni iliripotiwa kuwa Makonda 'aliyakana' makontena hayo.
Baadaye, ripoti zinadokeza kuwa RC Makonda 'aliyatambua' makontena hayo yaliyokuwa mikononi mwa TRA na kudai kuwa yalikuwa na samani za shule za mkoa wa Dar es Salaam. 'Akatishia' hata 'kuwashtaki' TRA kwa Rais. Mambo yakawa kimya hadi sasa inaporipotiwa kuwa TRA wamejaribu kuyapiga mnada bila mafanikio.
Sasa inaarifiwa kuwa RC Makonda amekwenda kanisani 'kufanya maombi maalum' ya kukwamisha mnada wa makontena yake. Ametishia kuwa yeyote ambaye atayanunua atapata laana! Kimsingi, ni Dhahiri sasa kuwa RC Makonda anayatambua na kuyapigania makontena yake. Makontena hayo yana nini hasa? Kwanini yalikuja kwa jina lake?
Namsihi RC Makonda, katika hili la makontena yanayoshikiliwa na TRA, aeleweke. Aiache TRA ifanye kazi yake na si kutaka kuionyesha TRA kama iliyo kwenye 'mission' naye kuyahusu hayo makontena. Mnada ufanyike na mambo mengine yaendelee. Namsihi RC Makonda kuacha pia kuwatisha 'kimaombi' wateja wanaotaka kuyanunua makontena hayo.
Kazi njema wakuu wote!
Sheria ni msumeno. Lazima kodi ilipwe.Mkuu ina maana wewe vitu vyako vikipigwa mnada utakaa kimya?