Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Kuja ndai huita kuja mshee na nyama za nguku wosie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuja ndai huita kuja mshee na nyama za nguku wosie.
Ne ashunge wangahi?Kuja ndai huita kuja mshee na nyama za nguku wosie.
Si amesema ni samani za shule za Dar Mkuu?
Duh, Ukiwa kilaza shida sanaAnaweweseka huyu si bure na anavyopenda kulialia sasa.
Ndani yake hukosi mercedes ya bethidei kwa mama daudiSi amesema ni samani za shule za Dar Mkuu?
Nice observation!!
Ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu! Bashite aliyakana haya Makontena kuwa si yake sasa yapo mnadani kelele zake za nini?Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana alifanya ibada maalum kanisani kwa ajili ya makontena yake yenye samani za shule yanayoshikiliwa na TRA
Katika ibada hiyo Makonda alionya watakao nunua makontena yake watapata laana kali
Pia aliwarushia dongo TRA akisema ni watu wabaya wasio na huruma na kudai kuwa wanamchukia Makonda
"Kama wanachukia Makonda waondoe nembo ya majina yangu kwenye makontena hayo" alisema Makonda
Ni mara nyingine viongozi wa serikali wanasuguana na taasisi za serikali katika kutekeleza majukumu yake huku kiongozi huyo wa mkoa akihisi anaonewa na ni wivu unaofanywa na TRA kisa anafanya vizuri katika mkoa wake
Juzi Paul Makonda alikaririwa na vyombo vya habari kuhusu kupigwa mnada makontena yake,akisema yeye hatishiki na ni mlima hawezi kuyumbishwa na wale wasiomtakia mema katika harakati zake za maendeleo ya Dar es salaam
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kuwa Makonda analaumu serikali kumhujumu na hakubaliani na TRA na mambo inayomfanyia