unaijua sheria wewe au unafuata mkumbo tuSheria ni muhimu kuliko hivyo vifaa mkuu....
Hasa mtu ukiwa na kiburi, jeuri, sifa na dharau mbele ya mamlaka.......!
Tueshimu sheria tukiacha vitu kama hivi kesho yatakuja makubwa zaidi ya hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu waziri Mpango kama anafuata sheria alipe mabilioni ya watu ya Vat refund anayakalia kinyume cha sheria asubiri tunakwenda kumtimua kwa VAT refund zipo kisheria mbona haamuru watu tulipwe?