Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

Sheria ni muhimu kuliko hivyo vifaa mkuu....

Hasa mtu ukiwa na kiburi, jeuri, sifa na dharau mbele ya mamlaka.......!

Tueshimu sheria tukiacha vitu kama hivi kesho yatakuja makubwa zaidi ya hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
unaijua sheria wewe au unafuata mkumbo tu
Huyu waziri Mpango kama anafuata sheria alipe mabilioni ya watu ya Vat refund anayakalia kinyume cha sheria asubiri tunakwenda kumtimua kwa VAT refund zipo kisheria mbona haamuru watu tulipwe?
 
Chadema wana wivu sana na Makonda lakini mkae mkijua amewaacha mbali sana na saco cos yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio nimeewa sasa,kumbe dr mpango naye ni chadema,kumbe chadema ndio wanataka vipigwe bei?basi hawa chadema ni untouchable maana wamemfanya hadi mkuu kakaa kimya.Basi sawa maana nyie chadema sisi walimu tunawaangalia tu
 
unaijua sheria wewe au unafuata mkumbo tu
Huyu waziri Mpango kama anafuata sheria alipe mabilioni ya watu ya Vat refund anayakalia kinyume cha sheria asubiri tunakwenda kumtimua kwa VAT refund zipo kisheria mbona haamuru watu tulipwe?
Sheria si kazi yangu ila bahati nzuri nilipitia pitia sheria ya Biashara na somo la kodi.......! Iko wazi mzigo ubajina lake alipe kodi kama watu wengine kwani ilikua ngumu nini kutia JMT......

Ayo Mambo ya Mpango mengine fuaten sheria na taratibu kupitia vyombo vinavousika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hoja yako tu, inasadifu wasifu wako kuwa wewe huna hata tone la ualimu
Mbaya zaidi hujui sera kodi ya tanzania, hujui sheria za kodi kwa Tanzania. Hapo ndipo ninakumbuka kitabu cha Juma na Roza
"Heri mimi sijasema"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yani kuna watanzania wenzetu huwa najiuliza akili zao zilikwenda wapi yani kichwani ni zaidi ya zero kama alivyo mtoa mada hivi hata kwa akili ndogo kabisa mtu unashindwa kujiuliza kwa nini huyo makonda mara ya kwanza alikataa kuwa hayo makontena sio yake?.
baada ya habari kusambaa kuwa ni yake na ya mekuja kwa jina lake ikabidi akubali kuwa ni kweli ni yake na ameagiza kwa ajili ya kusaidia shule za mkoa wake!.yoyote mwenye akili lazima ujiulize kwa nini alikataa sio yake?.
 
hili jizi la vyeti sijui linawapaga nini hawa mambwiga
naona hamkumsikiliza vizuri mpango
"wala asiwadanganye mtu walimu kuwa hatuwajali,serikali inawajali"
kosa la bashite ni kujifanya anawasaidia walimu ambao wamekuwa neglected na serikali(of course kosa kubwa ni kujimilikisha yale makontena),hili la kuwaona walimu kama hawasaidiwi ni la ziada
jiwe anaona katukanwa,...
lakini jiwe hana la kumfanya bashite zaidi ya kutaifisha hayo makontena
zero brain knows too much dirty operations he co-masterminded
 
Kwanza kwa mlio walimu mtanielewa ninaposema waziri kakurupuka wala hazijui changamoto za elimu
ukisikiliza kwa umakini kwenye hotuba yake ya juzi utagundua kabisa aelewi anachokiongea...

Anaongelea maswala ya elimu bure kitu ambacho ni nje kabisa ya mada ya makontena

swala hapa ni vifaa kwa ajiri ya kusaidia elimu ya dsm ambayo ina changamoto nyingi ikiwa na mrundikano wa wanafunzi na mambo kibao

Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu.

matokeo yake wananchi nao wameyabeba na kusahau watoto wao ndio wanakaa chini milele
mimi niko na ushahidi kabisa nilienda shule moja na taasisi fulani kutoa msaada wa computer lakini unakuta walimu stafu viti tu vya kukalia haviwatoshi hii ni aibu kama mwalimu hana kiti stafu mwanafunzi je darasani itakuwaje?

tukiweka siasa pembeni Makonda yupo sahihi kabisa na ana nia njema ingawa anaweza kuwa kafanya makosa kutumia jina lake kwa ushauri mbovu wa watendaji waliopo chini yake lakini naamini tatizo letu la elimu ni kubwa mno kuliko jina la makonda kuwa kwenye makontenana hili swala tunalibabe kishabiki sana kama kawaida yetu...

kwamba mimi ni chadema Gambo akifiwa na mzazi wake nashangilia, mimi ni ccm Sugu akipata msiba nashangilia upuuzi mtupu.

Hivi waziri anavipiga mnada vitu vya shule za dsm watu tunashangilia leo halafu kesho jangwani secondary inakuwa ya mwisho tunaanza kumponda makonda ...

Hivi vitu vikinunuliwa na wafanya biashara sisi wananchi wa kawaida tutafaidika vipi direct kama ambavyo tungeviona kwenye shule zetu? namimi naongeza na alaaniwe kabisa atakae vinunua.

"Form four wanakaribia pia kuanza mtihani msisahau kuleta mrejesho hapa wa shule za umma"
Hii nchi mtu akitaka kuhalalisha mambo yake anapitia kwa walimu kulikoni? Au wao hawajitambui? Mbona sijaona askari, madkatari, mainjinia wakitetewa kuwa wanafanya kazi katika mazingira mabovu na wao waletewe vitendea kazi/samani za ofisini? Hebu tuache uhuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wana wivu sana na Makonda lakini mkae mkijua amewaacha mbali sana na saco cos yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
ujinga mwingine bhana muwe mnaongeaga na mazuzu wenzenu huko lumumba. sasa chadema wanaingiaje kwenye issue ya makontena? kwahiyo na yule wazir mpango ni wachadema? punguani kabsa wewe shwain
 
Kwanza kwa mlio walimu mtanielewa ninaposema waziri kakurupuka wala hazijui changamoto za elimu
ukisikiliza kwa umakini kwenye hotuba yake ya juzi utagundua kabisa aelewi anachokiongea...

Anaongelea maswala ya elimu bure kitu ambacho ni nje kabisa ya mada ya makontena

swala hapa ni vifaa kwa ajiri ya kusaidia elimu ya dsm ambayo ina changamoto nyingi ikiwa na mrundikano wa wanafunzi na mambo kibao

Makonda inawezekana kuna sehemu alikosea katika mchakato huo lakini serikali walitakiwa kuwa wajanja wangeruhusu kwanza vitu viingie ndio waanze kuvimonitor wapate ushahidi wa kutosha ndio waje kumtuhumu.

matokeo yake wananchi nao wameyabeba na kusahau watoto wao ndio wanakaa chini milele
mimi niko na ushahidi kabisa nilienda shule moja na taasisi fulani kutoa msaada wa computer lakini unakuta walimu stafu viti tu vya kukalia haviwatoshi hii ni aibu kama mwalimu hana kiti stafu mwanafunzi je darasani itakuwaje?

tukiweka siasa pembeni Makonda yupo sahihi kabisa na ana nia njema ingawa anaweza kuwa kafanya makosa kutumia jina lake kwa ushauri mbovu wa watendaji waliopo chini yake lakini naamini tatizo letu la elimu ni kubwa mno kuliko jina la makonda kuwa kwenye makontenana hili swala tunalibabe kishabiki sana kama kawaida yetu...

kwamba mimi ni chadema Gambo akifiwa na mzazi wake nashangilia, mimi ni ccm Sugu akipata msiba nashangilia upuuzi mtupu.

Hivi waziri anavipiga mnada vitu vya shule za dsm watu tunashangilia leo halafu kesho jangwani secondary inakuwa ya mwisho tunaanza kumponda makonda ...

Hivi vitu vikinunuliwa na wafanya biashara sisi wananchi wa kawaida tutafaidika vipi direct kama ambavyo tungeviona kwenye shule zetu? namimi naongeza na alaaniwe kabisa atakae vinunua.

"Form four wanakaribia pia kuanza mtihani msisahau kuleta mrejesho hapa wa shule za umma"
wewe pumbavu kabisa ,acheni ujinga wenu wa kutafuta public sympathy lipeni ushuru wa hayo makontena basi!
 
Kuna mtu ana audio au video ya Makonda akisema haya maneno?
 
Back
Top Bottom