Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Yupi huyo? Yule mtangazaji Tabora?Paul Makonda anatufaa kwa Uraisi 2025.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi huyo? Yule mtangazaji Tabora?Paul Makonda anatufaa kwa Uraisi 2025.
Kwa kweli!Jiji la Dar kwa sasa ni sehemu salama sana tokea enzi za Mwalimu,panya Road wameishia jela, mateja yote yamesekwa Rehab,Dar inapendeza..Vigelegele waTanzania.
Ondoa upuuzi wako wewe kijana mdogo!
Juuu!!!juuu!!!juuuu..zaidi!! Ubarikiwe mkuu!!aisee... CCM Oyeeeee....
Ondoa upuuzi wako wewe kijana mdogo!
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums huyu hapa wa kugusa...Anajua Hakuna wa Kumgusa kwa Sababu anazojua yeye na alijua TRA watamuogopa kwa kuwa Mtoto pendwa kuliko wote na Mkulu kumbe kuna watu hawataki ubabaishaji kwenye kutekeleza majukumu yao waliyopewa na watanzania hasa kwenye kusimamia sheria! Pongezi nyingi kwa Philip Mpango na TRA, hakuna double stardand ili Tz isonge mbele. Tunasubiri maamuzi ya ngazi ya juu kuhusu nafasi yake, Hatufai kabisa huyu Bashite!
Jumapili wote kwa Gwajima - JamiiForums ndio maana kuna mtu ana taka amsha dude...Makonda haogopwi, anaogopwa aliye nyuma yake. Na kwa sasa inaonekana back-up imepungua kidogo.
mkuu hii ni point muhimu inayoelezea tulivyo wabinafsi, kuwa tukipataga nafasi twajaza matumbo yetu, alichofanya huyu ndg ni kawaida ya kibinadamu lkn ni kuiibia serikali kodiWrite your reply...kwani kuna ubaya gani mtu kula kazini kwake.?hawajui kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba na kwamba ukiipata nafasi usi ichezee.??