Pre GE2025 Makonda awatafutia vijana nafasi 1000 za kusoma nchini lndia. Huyu kijana ni kiongozi mbunifu sana, Rais Samia mtumie vizuri Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
amekutumaee? unafahamu maana ya tunu?. DAB ni tapeli, apuuzwe!

JESUS IS LORD&SAVIOR
Wewe sio Yesu/Mungu wa kuhukumu watu! Una makandokando kibao tu!
Hakuna Mkuu wa Mkoa au Waziri anamzidi Makonda kwenye nyanja ya uongozi!
 
Ni uzuzu tu wakifikra... Mnadanganyika kijinga namtu anayesaka ubunge!!!
Mnamsifiaga saana huyomtu lkn mkiambiwa miaka yake yoote ya uongozi kafanya kipi kinachoonekana hadi Sasa hamna mnajua kusifusifu tuu kijinga!!
Nchi maskini kama hii unakuja na hamasa yawatu kuposti wakezao?? Bora angesema waposti hata kazizao tungemwelewa!!!
 
Usiwe siriazi sana na maisha utakufa kesho!
Wewe ulitaka atoe hela zake anatengemeza fursa then kila mtu anapambana kivyake!
Hujui kuwa Arusha kuna vijana wameenda Morocco kwenye mashindano ya pikipiki!
Kuna vijana wamepata tender za Camera za kumonitor magari barabarani!
Wenye Mahotel wanaganya kazi muda wote kutokana na Mkuu wa mkoa kushawishi watu waje na sera ya conference tourism!
Wewe endelea kubwabwaja wenzako wanafanya kazi!
 
Kwenda VETA sio kudhalilisha graduates ni kuongeza ujuzi wako watu walishaenda kwa mapenzi binafsi na wanamake now.Tuwe positive always.

Upuuzi mtupu!

Ebu niambie, mechanical engineer aliyemaliza university, anaenda VETA akadomee kuwa fundi mchundo!! Civil engineer aliyemaliza university, aende VETA akasomee kuwa fundi mwashi!!

Ile kauli ya kijinga ya PM itakuwa supported na watu walemavu wa akili pekee.
 
Kwa vile hujui lolote basi nakushauri ukae kimya, kila kitu kwako unadhani...Dhania tu. Kuna mtu asiyechukia umaskini mwenye akili timamu? Wewe inaonekana unamjua Mh. Makonda kupitia vyombo vya habari, ulishawahi kukaa nae mkapiga stori nje ya siku za kazi? Kama bado ungekaa kimya.
 
Kuchoma nyama barabarani bila kuzingatia ( hygiene) afya za walaji ndio ubunifu huo.
Kwa Mrombo mkienda kura nyama mnazikutaja kwenye Oven au barabrani kando na njia?
Mijitu jeusi shida sana!
Mnataka viongozi vilaza wasio na ubunifu ndo wawaongoze wakiongea kama wenye hekima ila hawana lolote hata kwa jamii zao!
Unajua Wamama wangapi wamepata mataibabu kupitia Makonda kwa kushirikiana na madaktari?
Watoto zaidi ya 200 wenye matatizo ya Moyo wanapata matibabu na kriniki bure pale JKCI yote kwa influence ya Makonda!.
Watu wangapi wenye migogoro ya ardhi wamepata haki yao!?
Nitajie hao Wakuu wa mikoa wenu wavaa kaunda suti na kujikweza nani kafanya kama Makonda?
 
Wewe ni hater huwezi kuona mazuri yake! Kwa hiyo wewe kwa sababu ya ujinga wako unaongeaga na watu ili kuokoteza kasoro zao?
Kama ametenda mema kwa wachache basi waache wamsifie!
Nimekwambia itajie kiongozi ambaye wewe unamuona ni mwema kuliko Makonda tumjue!
Wewe mwenyewe hapo una mabwerebwenye kibao au kwa vile huna cheo!
Hater ni hater tu!
 
Nife kesho? labda uchawi wako unakudanganya? Ninaye Mungu muweza wayote wewe navipepo vyako endelea kuwanga!!
Huna point yamimi kujibu eti mbio zapkpk hiyo ndofursa yakuhangaikiwa namkuu wa mkoa?? Bure kichwani!!
 
Kwa ajira ipi kipaumbele si tumesema VETA
 
Nife kesho? labda uchawi wako unakudanganya? Ninaye Mungu muweza wayote wewe navipepo vyako endelea kuwanga!!
Huna point yamimi kujibu eti mbio zapkpk hiyo ndofursa yakuhangaikiwa namkuu wa mkoa?? Bure kichwani!!
Nambie Wakuu wengine wa mikoa wamehangaikia fursa gani?
Tatizo haujibu kwa hoja unaleta porojo!
 
Nambie Wakuu wengine wa mikoa wamehangaikia fursa gani?
Tatizo haujibu kwa hoja unaleta porojo!
Wewe hunaadabu tatizo unarukia usoyajua.
Ukipata mda mpigie mfano mkuu wa mkoa wa Njombe... kazi zinajieleza sio kutafuta attention na makamera ili usifiwe na wasoelewa
 
Namshauri makonda akae achutame kwenye ukuu wake wa mkoa kimya, ame fit, anaumudu, ameuweza!
-Tamaa iliponza fisi chalii yangu.
#Ubunge upo zaidi kwenye negotiations
#Ukuu wa mkoa upo katika utendaji zaidi na uwajibikaji.
 
Wewe hunaadabu tatizo unarukia usoyajua.
Ukipata mda mpigie mfano mkuu wa mkoa wa Njombe... kazi zinajieleza sio kutafuta attention na makamera ili usifiwe na wasoelewa
Huyo Mtaka ndo unasema anauwezo kuliko Makonda!
How? Kujieleza kwa utulivu kivipi?
Lipi amefanya bora zaidi ya Makonda?.
Kwanza kama hujui huyo Mtaka ni moja ya viongozi wasio fikika kwa urahisi.
Ashakuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma mbona aliondolewa akapelekwa mkoa mdogo wa Njombe! Ulishajiuliza kwa nini hakupelekwa Mwanza ,Dar au Arusha mikoa Mikubwa kwa nchi hii?
Mtaka hana lolote ni kada tu wa kawaida!
 
Hao 1000 wako wapi? Wakufikirika?

Hata hivyo atachinja sana mbuzi lakini wapi.
 
Mijitu jeusi shida sana, nimeipenda sana hiyo nani bora ungeishia hapo hapo. Mengine yote uliyosema yamemezwa humo. Naomba utoe fikra zako kwa mijitu hayo. Asante sana.
 
Mtaka hawezi kumfikia makonda, mtu anaogoza mjombe hawezi kumfananisha na anae ongoza jiji la arusha, ni ngumu mno
 
Namshauri makonda akae achutame kwenye ukuu wake wa mkoa kimya, ame fit, anaumudu, ameuweza!
-Tamaa iliponza fisi chalii yangu.
#Ubunge upo zaidi kwenye negotiations
#Ukuu wa mkoa upo katika utendaji zaidi na uwajibikaji.
Anaingia bungeni tunataka kumpa uwaziri wa Kazi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…