Wewe sio Yesu/Mungu wa kuhukumu watu! Una makandokando kibao tu!amekutumaee? unafahamu maana ya tunu?. DAB ni tapeli, apuuzwe!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Hakuna Mkuu wa Mkoa au Waziri anamzidi Makonda kwenye nyanja ya uongozi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio Yesu/Mungu wa kuhukumu watu! Una makandokando kibao tu!amekutumaee? unafahamu maana ya tunu?. DAB ni tapeli, apuuzwe!
JESUS IS LORD&SAVIOR
Ni uzuzu tu wakifikra... Mnadanganyika kijinga namtu anayesaka ubunge!!!Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Ubunifu gani zaidi ya hayo maigizo na wizi wa mali za umma?Sio Rushwa mkuu, nitajia waziri yoyote au mkuu wa mkoa ambae anaweza kumzidi paul Makonda kwa ubunifu wa kutafuta fusa
Kuchoma nyama barabarani bila kuzingatia ( hygiene) afya za walaji ndio ubunifu huo.Mbali na hilo ,jamaa, anajitahidi sana kubuni vitu vya kipekee
Usiwe siriazi sana na maisha utakufa kesho!Ni uzuzu tu wakifikra... Mnadanganyika kijinga namtu anayesaka ubunge!!!
Mnamsifiaga saana huyomtu lkn mkiambiwa miaka yake yoote ya uongozi kafanya kipi kinachoonekana hadi Sasa hamna mnajua kusifusifu tuu kijinga!!
Nchi maskini kama hii unakuja na hamasa yawatu kuposti wakezao?? Bora angesema waposti hata kazizao tungemwelewa!!!
Kwenda VETA sio kudhalilisha graduates ni kuongeza ujuzi wako watu walishaenda kwa mapenzi binafsi na wanamake now.Tuwe positive always.
Kwa vile hujui lolote basi nakushauri ukae kimya, kila kitu kwako unadhani...Dhania tu. Kuna mtu asiyechukia umaskini mwenye akili timamu? Wewe inaonekana unamjua Mh. Makonda kupitia vyombo vya habari, ulishawahi kukaa nae mkapiga stori nje ya siku za kazi? Kama bado ungekaa kimya.Makonda anafanya biashara na kwa alivyo mbunifu unategemea asiwe na biashara na utajiri wa kutosha?
Makonda kwa alivyo na uthubutu usitegemee atakuwa maskini hata alipokuwa hana cheo bado alifanya biashara zake kubwa na za kumwingizia hela nyingi!
Kama anafanunya biashara haramu serkali ipo na inaweza kumfatilia!
Kwa Mrombo mkienda kura nyama mnazikutaja kwenye Oven au barabrani kando na njia?Kuchoma nyama barabarani bila kuzingatia ( hygiene) afya za walaji ndio ubunifu huo.
Wewe ni hater huwezi kuona mazuri yake! Kwa hiyo wewe kwa sababu ya ujinga wako unaongeaga na watu ili kuokoteza kasoro zao?Kwa vile hujui lolote basi nakushauri ukae kimya, kila kitu kwako unadhani...Dhania tu. Kuna mtu asiyechukia umaskini mwenye akili timamu? Wewe inaonekana unamjua Mh. Makonda kupitia vyombo vya habari, ulishawahi kukaa nae mkapiga stori nje ya siku za kazi? Kama bado ungekaa kimya.
Nife kesho? labda uchawi wako unakudanganya? Ninaye Mungu muweza wayote wewe navipepo vyako endelea kuwanga!!Usiwe siriazi sana na maisha utakufa kesho!
Wewe ulitaka atoe hela zake anatengemeza fursa then kila mtu anapambana kivyake!
Hujui kuwa Arusha kuna vijana wameenda Morocco kwenye mashindano ya pikipiki!
Kuna vijana wamepata tender za Camera za kumonitor magari barabarani!
Wenye Mahotel wanaganya kazi muda wote kutokana na Mkuu wa mkoa kushawishi watu waje na sera ya conference tourism!
Wewe endelea kubwabwaja wenzako wanafanya kazi!
Kwa ajira ipi kipaumbele si tumesema VETATanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora kwa Tanzania.
Huyu kila nafasi anafaaaa, kwa sababu huwa anafanya ubunifu wa hali ya juuu sana angepewa uwaziri wa Kazi bila shaka angepunguza gap la ajira nchini.
Mungu akupe maisha marefu Paul Makonda, wewe pia ni tunu ya Taifa.
Chanzo ayo tv
Nambie Wakuu wengine wa mikoa wamehangaikia fursa gani?Nife kesho? labda uchawi wako unakudanganya? Ninaye Mungu muweza wayote wewe navipepo vyako endelea kuwanga!!
Huna point yamimi kujibu eti mbio zapkpk hiyo ndofursa yakuhangaikiwa namkuu wa mkoa?? Bure kichwani!!
Wewe hunaadabu tatizo unarukia usoyajua.Nambie Wakuu wengine wa mikoa wamehangaikia fursa gani?
Tatizo haujibu kwa hoja unaleta porojo!
Huyo Mtaka ndo unasema anauwezo kuliko Makonda!Wewe hunaadabu tatizo unarukia usoyajua.
Ukipata mda mpigie mfano mkuu wa mkoa wa Njombe... kazi zinajieleza sio kutafuta attention na makamera ili usifiwe na wasoelewa
Hao 1000 wako wapi? Wakufikirika?Jamaa inaonekana kuna mambo ndani ya nafsi yake yanamtesa sana na huenda kuna matendo anajutia sana kuyafanya na ndiyo maana anafanya kila jitihada kujisafisha machoni pa watu na mbele ya muumba wake,aendelee na jitihada zake huenda lengo lake litatimia.
Mijitu jeusi shida sana, nimeipenda sana hiyo nani bora ungeishia hapo hapo. Mengine yote uliyosema yamemezwa humo. Naomba utoe fikra zako kwa mijitu hayo. Asante sana.Kwa Mrombo mkienda kura nyama mnazikutaja kwenye Oven au barabrani kando na njia?
Mijitu jeusi shida sana!
Mnataka viongozi vilaza wasio na ubunifu ndo wawaongoze wakiongea kama wenye hekima ila hawana lolote hata kwa jamii zao!
Unajua Wamama wangapi wamepata mataibabu kupitia Makonda kwa kushirikiana na madaktari?
Watoto zaidi ya 200 wenye matatizo ya Moyo wanapata matibabu na kriniki bure pale JKCI yote kwa influence ya Makonda!.
Watu wangapi wenye migogoro ya ardhi wamepata haki yao!?
Nitajie hao Wakuu wa mikoa wenu wavaa kaunda suti na kujikweza nani kafanya kama Makonda?
Mtaka hawezi kumfikia makonda, mtu anaogoza mjombe hawezi kumfananisha na anae ongoza jiji la arusha, ni ngumu mnoHuyo Mtaka ndo unasema anauwezo kuliko Makonda!
How? Kujieleza kwa utulivu kivipi?
Lipi amefanya bora zaidi ya Makonda?.
Kwanza kama hujui huyo Mtaka ni moja ya viongozi wasio fikika kwa urahisi.
Ashakuwa Mkuu wa mkoa wa Dodoma mbona aliondolewa akapelekwa mkoa mdogo wa Njombe! Ulishajiuliza kwa nini hakupelekwa Mwanza ,Dar au Arusha mikoa Mikubwa kwa nchi hii?
Mtaka hana lolote ni kada tu wa kawaida!
Anaingia bungeni tunataka kumpa uwaziri wa Kazi,Namshauri makonda akae achutame kwenye ukuu wake wa mkoa kimya, ame fit, anaumudu, ameuweza!
-Tamaa iliponza fisi chalii yangu.
#Ubunge upo zaidi kwenye negotiations
#Ukuu wa mkoa upo katika utendaji zaidi na uwajibikaji.