Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

Makonda awataka wananchi kutulia na kutotangaza Mgonjwa wa Corona kwani hawana mamlaka

195472B7-93B1-4CD5-B76E-38D7EFF71F98.jpeg
J
195472B7-93B1-4CD5-B76E-38D7EFF71F98.jpeg

Jipeni moyo
 
Mungu mkubwa, jitihada ziendelee hasa kuimarisha maeneo ya mipakani, viwanja vya ndege, na kwenye maghati ya meli ili kudhibiti maambukizi

Heko Makonda
 
Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Utajuaje kma hkuna maambukizi wakati vipimo hakuna? Wabongo sio kama wazungu. Sisi mafua, kikoozi, homa etc tumezoea kuish navyo. Sasa hatuwezi tofautisha mafua au homa ya kwaida na ya korina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There you are, waliojichanganya na wagonjwa waliothibitishwa, hawajaambukizwa. Ila kama ulivyosema, mafua na vihoma homa, tumevizoea na tunaishi navyo na hatufi, wakati Wazungu kila siku wanakufa na mafua!.
P
 
Makonda anataka kucheza na fursa, akkondolewa kodi tu ktk marighafi anashusha kiwanda, kibendera wa mzee baba John
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema Mwananchi wa kawaida hana ruhusa ya kutangaza kuwa mtu ana #Coronavirus kisa umemuona Hospitali kwani Mamlaka hayo anayo Waziri wa Afya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais

Amesema “Mkoa wangu ndio unaongoza kwa wajuaji, sasa niwaombe msilete ujuaji, kwenye hili janga la #COVID19, tujifanye wajinga kidogo ili tupone. Hata kama una mpenzi wako hamjakutana mwezi mzima vumilia.”

Aidha, amesema vifaa vya kupimia vinakuja Jijini Dar muda si mrefu kwani amewasiliana na Watu wa China kupitia kwa Balozi na wamekubali kuleta vifaa hivyo

Pia, amemuomba Wazira wa Fedha, Philip Mpango apunguze au kuondoa kodi kwa malighafi kutoka nje zinazotumika kutengeneza Sanitizer ili kuhakikisha viwanda vyetu vinaendelea kutengeneza na zikauzwa kwa bei nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjuaji nambari one ni huyu Bashite. Hizo tambo ni za kijinga tu. Yeye mamlaka ya kuongea na ubalozi wa China au kumuomba Waziri wa Fedha kayatoa wapi?
 
Mkuu Nguruvi3, lets wait and see, wakiambukizwa nitaomba radhi, wasipoambukizwa, nitasubiria radhi yako.
P
Mkuu kabla ya wiki, yaani siku 3 tatu tangu tuwekeani 'ahadi'' za kuomba radhi, ningekushauri usisubiri siku 7. Idadi imepanda na baada ya siku 7 itakuwa mara mbili.

Hii ni fursa ya kuomba radhi ! lol
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema Mwananchi wa kawaida hana ruhusa ya kutangaza kuwa mtu ana #Coronavirus kisa umemuona Hospitali kwani Mamlaka hayo anayo Waziri wa Afya, Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais

Amesema “Mkoa wangu ndio unaongoza kwa wajuaji, sasa niwaombe msilete ujuaji, kwenye hili janga la #COVID19, tujifanye wajinga kidogo ili tupone. Hata kama una mpenzi wako hamjakutana mwezi mzima vumilia.”

Aidha, amesema vifaa vya kupimia vinakuja Jijini Dar muda si mrefu kwani amewasiliana na Watu wa China kupitia kwa Balozi na wamekubali kuleta vifaa hivyo

Pia, amemuomba Wazira wa Fedha, Philip Mpango apunguze au kuondoa kodi kwa malighafi kutoka nje zinazotumika kutengeneza Sanitizer ili kuhakikisha viwanda vyetu vinaendelea kutengeneza na zikauzwa kwa bei nafuu
Mi
 
Mimi naona Serikari iendelee kudhibiti utoaji Taarifa zote kuhusu ugonjwa huu wa Corona,kwasababu hili Janga siyo la masihara,kwani pamoja na kuuwa watu pia linaangamiza na uchumi wote,Sasa Taarifa zikiwa zinatolewa holela holela linaweza Badala ya ugonjwa kuua watu ugonjwa ukauwa uchumi halafu watu wakafa kwa njaa,Kwakuwa serikali inapata data sahihi kila siku na inaona Hali halisi ya madhara ilivyo nchini mwetu bado tuendelee kuimani ktk kipindi hiki kigumu,Nikweli Afya za watu hazitakiwi kushughurikiwa Kisiasa Ila siasa inaweza ikajenga au kubomoa chochote kile.
 
Back
Top Bottom