Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Yeye ndio boss wa mkoa usisahau hilo!Hivi na yeye ana mamlaka ya kutangaza hizi taarifa ?
Zero Iq wa jijiMkuu wa mkoa wa Dsm amewataka wananchi kumtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya Corona.
Makonda amesema hadi sasa jiji Dsm ambalo lina takribani watu zaidi ya milioni 6 kuna wagonjwa watatu wa Corona ambao ni mwana FA, Sallam na raia mmoja wa Marekani.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee usilete dharau kwenye corona!Zero Iq wa jiji
Zero Iq na corona vinahusiana nini ?Bwashee usilete dharau kwenye corona!
Haiwezekani waliombukizwa bongo wanasubiri siku 14 kuonyesha dalili na kuanza kuwa viral kwa watu wengi zaidi?Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Je, yeye ni makamu wa Raisi, waziri mkuu au Waziri wa Afya ?Yeye ndio boss wa mkoa usisahau hilo!
Sasa wewe ulitaka wawe wangapi?Mkuu wa mkoa wa Dsm amewataka wananchi kumtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya Corona.
Makonda amesema hadi sasa jiji Dsm ambalo lina takribani watu zaidi ya milioni 6 kuna wagonjwa watatu wa Corona ambao ni mwana FA, Sallam na raia mmoja wa Marekani.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee usilete utani!Ngoja Mike pompeoo amsikie
Na in short ni kwamba Corona haifichiki, ingekuwepo jamii nzima ingeonaHii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Kupata bahati ya kuongoza watu si kwamba unaakili kuliko unaowaongoza, Ila huwa inatokea tu, mpeni ushirikiano mkuu
Hahahaha!!!
Ndio kiboko yakeBwashee usilete utani!