Kama uzi huu umeletwa kiukweli yaani tamko hilo limetolewa na RC Makonda ni kiashiria kingine kuwa tunaishi in a shithole country,kuugua kwa mtu ni siri kati ya ke na Doctor wake,sio kazi ya RC kuwatamka watu hadharani,hii ni vita kubwa mno lakini mpaka leo ninaona viongozi wetu hasa wakuu hawana clue kabisa ni jinsi gani ya kuiongoza nchi katika janga hili,tuelewe uchumi wa nchi itayumba sana na hadi leo sijasikia tamko la BENKI KUU kuhusiana na pandemic hii na ni jinsi gani wamejipanga to stabiliser uchumi wa nchi kama to lower interest repo ikiwa ni pamoja na kuilinda local currency against major ones,hii vita ilitakiwa my president asimamie na awe mbele sio anavyofanya kuwaachia wengine matokeo yake kila mmoja anaongea la kwake,ilitakiwa waziri wa afya ndiye awe msemaji mkuu wa kila kitu kuhusu pandemic hii ,hili litazua fake news na upotoshaji wa taarifa.