Tumtangulize mungu je akiambukizwa nani atatulinda?Mkuu wa mkoa wa Dsm amewataka wananchi kumtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya Corona.
Makonda amesema hadi sasa jiji Dsm ambalo lina takribani watu zaidi ya milioni 6 kuna wagonjwa watatu wa Corona ambao ni mwana FA, Sallam na raia mmoja wa Marekani.
Maendeleo hayana vyama!
Hapana yeye aongee mengine ya usafi na miundo mbinu. Hili la Afya awaachie Wizara ndiyo kuna wataalamu. Kama yeye anaongelea wagonjwa 3 ujue itakuwa ni duplication na Wizara ikiongea.Yeye ndio boss wa mkoa usisahau hilo!
Na sisi wasikilizaji ni dustibin
Takataka mara 10 hata kama ni kiongoziMzee baba uwe na heshima na watu hata Kama unatofautiana kwenye mitazamo ya kisiasa.Huyo unaemwita takataka kakuzidi kimaisha Hadi cheo
Ukute wewe ni mtu mzima na una watoto alafu unaongea upuuzi kiasi hiki.Takataka mara 10 hata kama ni kiongozi
Mkuu Pascal Mayalla, hakuna mgonjwa yeyote kati ya huyo Mwana FA na Sallam SK bali ni maigizo tuMkuu Nguruvi3, lets wait and see, wakiambukizwa nitaomba radhi, wasipoambukizwa, nitasubiria radhi yako.
P
Pamoja na hilo wewe utaemdelea kuishi kwenye umaskini uliotopea huku huyo takataka akiishi kifahari,
Mbwiga unamuiga Ngabu!No use to argue with a retard, least you sink to such depths. Noteworthy, you are quite a 'modbydeligt' many. Worthy too, incenerating.
Labda wa test tube
Mkuu wa mkoa wa Dsm amewataka wananchi kumtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya Corona.
Makonda amesema hadi sasa jiji Dsm ambalo lina takribani watu zaidi ya milioni 6 kuna wagonjwa watatu wa Corona ambao ni mwana FA, Sallam na raia mmoja wa Marekani.
Maendeleo hayana vyama!
Mwanafa kapona!
Makonda amekuwa baba wa Dar...No way...ni kiongozi wetu tu...
Uganda, Kenya zilivyo funga ni wazungu?Tufunge mipaka ya nini kwa ugonjwa wa Wazungu?.
P
Taifa la wajinga na mang'ombeMkuu wa mkoa wa Dsm amewataka wananchi kumtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya Corona.
Makonda amesema hadi sasa jiji Dsm ambalo lina takribani watu zaidi ya milioni 6 kuna wagonjwa watatu wa Corona ambao ni mwana FA, Sallam na raia mmoja wa Marekani.
Maendeleo hayana vyama!
Makonda is not one of my favourite leaders lakini mkuu unakurupuka sana kwenye hoja zako.Kama uzi huu umeletwa kiukweli yaani tamko hilo limetolewa na RC Makonda ni kiashiria kingine kuwa tunaishi in a shithole country, kuugua kwa mtu ni siri kati ya ke na Doctor wake, sio kazi ya RC kuwatamka watu hadharani, hii ni vita kubwa mno lakini mpaka leo ninaona viongozi wetu hasa wakuu hawana clue kabisa ni jinsi gani ya kuiongoza nchi katika janga hili, tuelewe uchumi wa nchi itayumba sana na hadi leo sijasikia tamko la BENKI KUU kuhusiana na pandemic hii na ni jinsi gani wamejipanga to stabiliser uchumi wa nchi kama to lower interest repo ikiwa ni pamoja na kuilinda local currency against major ones, hii vita ilitakiwa my president asimamie na awe mbele sio anavyofanya kuwaachia wengine matokeo yake kila mmoja anaongea la kwake, ilitakiwa waziri wa afya ndiye awe msemaji mkuu wa kila kitu kuhusu pandemic hii ,hili litazua fake news na upotoshaji wa taarifa.
Kweli kabisa mkuu kachukue na buku 7Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Mipaka wamefungia WazunguUganda, Kenya zilivyo funga ni wazungu?