Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
No use to argue with a retard, least you sink to such depths. Noteworthy, you are quite a 'modbydeligt' many. Worthy too, incenerating.Corona type mnaoshughulikiwa!
No use to argue with a retard, least you sink to such depths. Noteworthy, you are quite a 'modbydeligt' many. Worthy too, incenerating.Corona type mnaoshughulikiwa!
Mkuu Nguruvi3, lets wait and see, wakiambukizwa nitaomba radhi, wasipoambukizwa, nitasubiria radhi yako.Hii ni habari mbaya sana. Incubation period ya Corona ni takribani siku 5-7. Kumbuka watu hao walichangamana na wananchi kabla ya kuwa ''isolated''. Hiyo namba itabadilikana na kuwa ''exponential'' na hapo ndipo tutashahudia maafa.
Hakuna mahali Corona ilianza na watu 10. Kila mahali ni 1 halafu inapanda kwa kasi kutokana na maambukizi.
Nitakupa mfano, hao watatu kama wameambukiza kila mmoja watu 2 idadi itakuwa 9. Hao 9 wakiambukiza watu 3, ni 27 n.k.
Tusijifariji tatizo bado kabisa, ndio kwanza mbegu ''zimepandwa''. Baada ya wiki moja kutoka siku ya bandiko hili kama idadi haitaongezeka nitarudi kuomba radhi.
Wakati waafrica wengi wakitamani wawe wazungu, ni muda wa wawazungu nao kutamani kuwa waafrica, Corona inagonga kwamba kwenye ngozi ya mwafricaHii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Kumbe makonda ni Baba ako?
Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Kama uzi huu umeletwa kiukweli yaani tamko hilo limetolewa na RC Makonda ni kiashiria kingine kuwa tunaishi in a shithole country, kuugua kwa mtu ni siri kati ya ke na Doctor wake, sio kazi ya RC kuwatamka watu hadharani, hii ni vita kubwa mno lakini mpaka leo ninaona viongozi wetu hasa wakuu hawana clue kabisa ni jinsi gani ya kuiongoza nchi katika janga hili, tuelewe uchumi wa nchi itayumba sana na hadi leo sijasikia tamko la BENKI KUU kuhusiana na pandemic hii na ni jinsi gani wamejipanga to stabiliser uchumi wa nchi kama to lower interest repo ikiwa ni pamoja na kuilinda local currency against major ones, hii vita ilitakiwa my president asimamie na awe mbele sio anavyofanya kuwaachia wengine matokeo yake kila mmoja anaongea la kwake, ilitakiwa waziri wa afya ndiye awe msemaji mkuu wa kila kitu kuhusu pandemic hii ,hili litazua fake news na upotoshaji wa taarifa.
Believe that and you'll believe anything!.
Mkuu wa mkoa wa Dsm amewataka wananchi kumtanguliza Mungu mbele katika mapambano dhidi ya Corona.
Makonda amesema hadi sasa jiji Dsm ambalo lina takribani watu zaidi ya milioni 6 kuna wagonjwa watatu wa Corona ambao ni mwana FA, Sallam na raia mmoja wa Marekani.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu Nguruvi3, lets wait and see, wakiambukizwa nitaomba radhi, wasipoambukizwa, nitasubiria radhi yako.
P
Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Mungu anatuona sana Dar , maana kila asubuhi anaachia jua Kali sana kukomesha hawa wadudu waharibifu. Machinga wote wapo salama mpaka sasa. Mungu anajua waja wake. Dar bila corona inawezekana kwa nguvu za Mungu tu
Hivi kweli ikitokea uchaguzi umeahirishwa, Nani atafurahia zaidi Kati ya wapinzani na chama tawalaKama idadi hiyo ni ndogo kwa nn sasa mnataka kuhailisha uchaguzi mkuu mwaka huu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado serikali yako haitaki kufunga mipaka.Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P
Hivi na yeye ana mamlaka ya kutangaza hizi taarifa ?
Tufunge mipaka ya nini kwa ugonjwa wa Wazungu?.
Nigeria teyari maambukizp ya ndani ya nchi yameanza kutokea.Hii ni habari njema sana za Corona, so far mpaka sasa, hakuna Maambukizi yoyote ya Corona ndani ya Bongo, hao wote waliokutwa nayo, wamekuja nayo kutoka huko walikotoka, lakini Bongo Corona haiambukizi.
P