Uchaguzi 2020 Makonda azuiwa kukaa Jukwaa Kuu kwenye mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za CCM

He who shows his face everywhere will one day find a place to hide.
 
Waongo nyie ni yeye anaongea na masuti
Your browser is not able to display this video.
 
Wananchi wakimuona Makonda hasira zao zinawaka juu ya raisi.

Asilimia 65 ya wanaomchukia rais inatokana na wale wateule wake wasio hekima wabpumbavu na wajivuni kama Makonda, Sabaya na wote wa namna hiyo.
So walinzi wa rais washaligundua hilo ndio maana wanalifanyia kazi kwa vitendo
 
Khatwe mzee baba punguza spanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anajikuta ashakua maarufu..Hajui piere ana thamani kuliko yeye now
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Madaraka ni koti, ndani ya mkoa wangu Ni marufuku...
 

Attachments

  • VID-20200829-WA0180.mp4
    2.9 MB
Hahahaaa... Hata kwangu ilitokea vivyo hivyo ila hakuna namna zaidi ya kupambana.
 
Mwambieni pia Siro na Pole pole. Maana wana dhani wako mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…