Makonda bado ana kidonda cha kutengwa, kutwezwa na kususwa na system pamoja na marafiki zake. Kazi ya uenezi itamshinda

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
 
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali amabo walikuwa wanamkatia simu ama Kigoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi amaboa anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hawaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Hiyo sio issue kwa CCM kule wengi niwa bobezi wa unafiki, sio kwamba wana pendana la asha, usipo jifunza unafiki huwezi siasa za CCM kabisa.

CCM inamtumia makonda sio kwamba wanampenda sana hapana nikwa sbb anahitajika kwa wakati hu wa uchaguzi
Makonda his very creative and risk take asie ogopa kesho itakua je kwake katika kufanya kazi, Makonda ni rahisi kumtumia kwasbb ni bogus and famous,

Ni mtu anae lewa haraka na cheo, ccm wengi wana kumbuka na wana jua jinsi alivo chafua familia za hao walio mchagua katika hicho cheo kama ni kumlipaza sio wakati wake kwa sasa.
 
Hao unasema walikuwa wanamtenga ndio hao waliompa kazi ya uenezi. CCM tunaanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Kisha Uchaguzi Mkuu 2025! Nyie bakini kupiga ramli!
 
Yani Samia ametanguliza mapenzi yake binafsi kwa kumteua mtu ambaye Marekani imempiga marufuku kukanyaga ardhi yao kwa tuhuma ya kuondolea watu haki ya kuishi!
Wewe una heshimu maamuzi ya Marekani kuliko maamuzi ya Watanzania, wana ccm kama hawajaridhia na uteuzi wake tutegemee kesho kwandamana kuipinga, kitu ambacho ni impossoble, maanake makonda bando anapendwa na raia wa Tanzania.
 
Mtanyooka tuu maana namna mmeanza Ramli chonganishi baada ya kuona uteuzi wake ukilitetemesha Taifa kwa furaha na kuteka anga la siasa za hapa nchini na nje ya nchi.makonda ndio dawa ya upinzani uchwara wa hapa nchini uliozoea kuokoteza vihabari vya vijiweni. Anakwenda kuwasambaratisheni majukwaani na kila kona ya nchi yetu .anakwenda kula nanyi sahani moja mpaka mpige magoti kuomba msamaha .huo ndio uteuzi na mtu aliyesubiliwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania kuona Makonda akirejea uongozini.kiukweli karejea kwa kishindo kikubwa sana kilicholeta mtikisiko katika mioyo ya upinzani
 
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Sahihi...

Wamekosea sana.
 
Makonda ni baniani Tu
 
Mtanyooka tuu maana namna mmeanza Ramli chonganishi baada ya kuona uteuzi wake ukilitetemesha Taifa kwa furaha na kuteka anga la siasa za hapa nchini na nje ya nchi.makonda ndio dawa ya upinzani uchwara wa hapa nchini uliozoea kuokoteza vihabari vya vijiweni. Anakwenda kuwasambaratisheni majukwaani na kila kona ya nchi yenu .anakwenda kula nanyi sahani moja mpaka mpige magoti kuomba msamaha .huo ndio uteuzi na mtu aliyesubiliwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania kuona Makonda akirejea uongozini.kiukweli karejea kwa kishindo kikubwa sana kilicholeta mtikisiko katika mioyo ya upinzani
Huna hoja we inzi wa kijani. Hata kuandika hujui
 
Hiyo sio issue kwa CCM kule wengi niwa bobezi wa unafiki, sio kwamba wana pendana la asha, usipo jifunza unafiki huwezi siasa za CCM kabisa.

CCM inamtumia makonda sio kwamba wanampenda sana hapana nikwa sbb anahitajika kwa wakati hu wa uchaguzi
Makonda his very creative and risk take asie ogopa kesho itakua je kwake katika kufanya kazi, Makonda ni rahisi kumtumia kwasbb ni bogus and famous,

Ni mtu anae lewa haraka na cheo, ccm wengi wana kumbuka na wana jua jinsi alivo chafua familia za hao walio mchagua katika hicho cheo kama ni kumlipaza sio wakati wake kwa sasa.
Wewe ambaye sio Bogus hata mtaani kwako hawakujui!
Makonda anakuzidi kila kitu bichwa panzi wewe!
Makonda yupo sana kwenye siasa za Tanzania hata baada ya Samia Makonda atakuwepo utake usitake!
Naona unauchungu sana na mapimbi wenzako!
Watu mna wivu, uchawi na kila ubaya kafieni mbele huko na nira zenu mbaya!
 
Mkuu naona unakua mkali bila sababu bogus sio tusi, kuna watu ambao ni political bogus kutumika kwa wakati mgumu wa kisiasa, ambao politixal elites hawawezi kuvuka, kama JPM alikua a political bogus kusaidia kutatua hali ya Membe vS lowasa, jambo ccm alifanikiwa, hivyohivyo Makonda kwa kampaini za Ccm ni mihimu kutumika he has nothing to lose,
 
Wewe usiye Bogus mbona hata hujulikani?
Bogus anakuzidi mafanikio wewe na uko wako wote kipi bora?
Ujuaji wa kujitia utoto wa mjini lakini huna la maana unalofanya na hujulikani hata kwa mjumbe wa nyumba kumi!
Nyinyi mapimbi ndo mnachukiaga watu bila sababu!
Makonda kawa kiongozi UV-CCM Taifa, Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Mkuu wa Mkoa Dar ea Salaam na leo Mwenezi- Big Four ndani ya Chama unamwita Bogus!
Naomba utulize kinyeo mzee maombi yako uchwara yameshindwa tena nikwambie utaendelea kushindwa!
 
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Soon atajibomoa tokana na kujiona wa maana hata hivyo CCM ni wale wale. Hawana ubinadamu wala hisia bali wanafikiri kwa kutumia matumbo na makalio na njaa
 
Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.

Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.

Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Wameangalia ghalani wakakosa
Wakaangalia kwenye dustbin ndio wakampata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom