Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mtanyooka tuu maana namna mmeanza Ramli chonganishi baada ya kuona uteuzi wake ukilitetemesha Taifa kwa furaha na kuteka anga la siasa za hapa nchini na nje ya nchi.makonda ndio dawa ya upinzani uchwara wa hapa nchini uliozoea kuokoteza vihabari vya vijiweni. Anakwenda kuwasambaratisheni majukwaani na kila kona ya nchi yenu .anakwenda kula nanyi sahani moja mpaka mpige magoti kuomba msamaha .huo ndio uteuzi na mtu aliyesubiliwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania kuona Makonda akirejea uongozini.kiukweli karejea kwa kishindo kikubwa sana kilicholeta mtikisiko katika mioyo ya upinzani
Kumzidi JPM ?
Yuko wapi sasa?
Tumuogope Mwenyezi Mungu.