Hiyo sio issue kwa CCM kule wengi niwa bobezi wa unafiki, sio kwamba wana pendana la asha, usipo jifunza unafiki huwezi siasa za CCM kabisa.Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali amabo walikuwa wanamkatia simu ama Kigoma kupokea simu zake.
Makonda ana hasira na watu wengi amaboa anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hawaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.
Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Wewe una heshimu maamuzi ya Marekani kuliko maamuzi ya Watanzania, wana ccm kama hawajaridhia na uteuzi wake tutegemee kesho kwandamana kuipinga, kitu ambacho ni impossoble, maanake makonda bando anapendwa na raia wa Tanzania.Yani Samia ametanguliza mapenzi yake binafsi kwa kumteua mtu ambaye Marekani imempiga marufuku kukanyaga ardhi yao kwa tuhuma ya kuondolea watu haki ya kuishi!
Sahihi...Kabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.
Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.
Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Makonda ni baniani TuKabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.
Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.
Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Huna hoja we inzi wa kijani. Hata kuandika hujuiMtanyooka tuu maana namna mmeanza Ramli chonganishi baada ya kuona uteuzi wake ukilitetemesha Taifa kwa furaha na kuteka anga la siasa za hapa nchini na nje ya nchi.makonda ndio dawa ya upinzani uchwara wa hapa nchini uliozoea kuokoteza vihabari vya vijiweni. Anakwenda kuwasambaratisheni majukwaani na kila kona ya nchi yenu .anakwenda kula nanyi sahani moja mpaka mpige magoti kuomba msamaha .huo ndio uteuzi na mtu aliyesubiliwa kwa hamu kubwa sana na mamilioni ya watanzania kuona Makonda akirejea uongozini.kiukweli karejea kwa kishindo kikubwa sana kilicholeta mtikisiko katika mioyo ya upinzani
Wewe ambaye sio Bogus hata mtaani kwako hawakujui!Hiyo sio issue kwa CCM kule wengi niwa bobezi wa unafiki, sio kwamba wana pendana la asha, usipo jifunza unafiki huwezi siasa za CCM kabisa.
CCM inamtumia makonda sio kwamba wanampenda sana hapana nikwa sbb anahitajika kwa wakati hu wa uchaguzi
Makonda his very creative and risk take asie ogopa kesho itakua je kwake katika kufanya kazi, Makonda ni rahisi kumtumia kwasbb ni bogus and famous,
Ni mtu anae lewa haraka na cheo, ccm wengi wana kumbuka na wana jua jinsi alivo chafua familia za hao walio mchagua katika hicho cheo kama ni kumlipaza sio wakati wake kwa sasa.
Mkuu naona unakua mkali bila sababu bogus sio tusi, kuna watu ambao ni political bogus kutumika kwa wakati mgumu wa kisiasa, ambao politixal elites hawawezi kuvuka, kama JPM alikua a political bogus kusaidia kutatua hali ya Membe vS lowasa, jambo ccm alifanikiwa, hivyohivyo Makonda kwa kampaini za Ccm ni mihimu kutumika he has nothing to lose,Wewe ambaye sio Bogus hata mtaani kwako hawakujui!
Makonda anakuzidi kila kitu bichwa panzi wewe!
Makonda yupo sana kwenye siasa za Tanzania hata baada ya Samia Makonda atakuwepo utake usitake!
Naona unauchungu sana na mapimbi wenzako!
Watu mna wivu, uchawi na kila ubaya kafieni mbele huko na nira zenu mbaya!
Bila shaka umeshachanganyikiwa kama machadema wenzio.Huna hoja we inzi wa kijani. Hata kuandika hujui
Wewe usiye Bogus mbona hata hujulikani?Mkuu naona unakua mkali bila sababu bogus sio tusi, kuna watu ambao ni political bogus kutumika kwa wakati mgumu wa kisiasa, ambao politixal elites hawawezi kuvuka, kama JPM alikua a political bogus kusaidia kutatua hali ya Membe vS lowasa, jambo ccm alifanikiwa, hivyohivyo Makonda kwa kampaini za Ccm ni mihimu kutumika he has nothing to lose,
Soon atajibomoa tokana na kujiona wa maana hata hivyo CCM ni wale wale. Hawana ubinadamu wala hisia bali wanafikiri kwa kutumia matumbo na makalio na njaaKabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.
Makonda ana hasira na watu wengi ambao anapaswa kufanya nao kazi kwa sasa. Hivyo itakuwa ngumu kwa yeye kupata ufanisi. Hatowaamini tena watu hawa, na hatokuwa huru kuonesha umahiri wake kikamilifu.
Mtu sahihi ambaye yuko pending lkn anapendwa na anaiweza kazi ya uenezi ni Humphrey Polepole.
Wameangalia ghalani wakakosaKabla ya kumpa uenezi angepewa japo uRC ambao ungempa nafasi ya kujenga urafiki na ukaribu na viongozi mbalimbali ambao walikuwa wanamkatia simu ama kugoma kupokea simu zake.