Pre GE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 3082492

Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.

My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Time will tell
 
Tumemsikia yule aliyekuwa Konda kwenye ile Kampuni ya mabasi awaku ile akimrushia lawama aliyekuwa Dereva.
Je, ametumia fasihi katika kumrushia lawama aliyekuwa dereva wake kwamba maovu yale yalifanywa na yule dereva ila lawama ma chuki akarushiwa yeye?

Je, Inawezekana huu ni mwendelezo ambao kila anayepewa nafasi ya kuhudumu kwenye kampuni hii ya sasa ya mabasi chini ya Dereva wake Mpya, amekuwa akijaribu kujitakasa kwa kumtumia lawama yule aliyekuwa Dereva wa mabasi ya kipindi kile.

Safari hii tumemsikia aliyekuwa Kondakta kipindi kile akisimama hadharani na kuamua kumtupia lawama aliyekuwa Dereva wake, ingawa lawama hizo amejaribu kutumia fasihi na tafsida kiasi kwamba wengi wanadhani anayelaumiwa ni Dereva kwa maana ya Dereva, ila kiuhalisia nianayerushiwa lawama na huyu Kondakta ni Dereva.
Masikini Dereva yule, mwisho wa siku hata waliomuwezesha kuipata ile ajira na wenyewe watamiana.
 
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.

My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Makonda namba nyingine! Makonda level nyingine!
 
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.

My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Ila huyu ndugu yangu angetulia sasa.
 
Tumemsikia yule aliyekuwa Konda kwenye ile Kampuni ya mabasi awaku ile akimrushia lawama aliyekuwa Dereva.
Je, ametumia fasihi katika kumrushia lawama aliyekuwa dereva wake kwamba maovu yale yalifanywa na yule dereva ila lawama ma chuki akarushiwa yeye?

Je, Inawezekana huu ni mwendelezo ambao kila anayepewa nafasi ya kuhudumu kwenye kampuni hii ya sasa ya mabasi chini ya Dereva wake Mpya, amekuwa akijaribu kujitakasa kwa kumtumia lawama yule aliyekuwa Dereva wa mabasi ya kipindi kile.

Safari hii tumemsikia aliyekuwa Kindakta kipindi kile akisimama hadharani na kuamua kumtupia lawama aliyekuwa Dereva wake, ingawa lawama hizo amejaribu kutumia fasihi na tafsida kiasi kwamba wengi wanadhani anayelaumiwa ni Dereva kwa maana ya Dereva, ila kiuhalisia nianayerushiwa lawama na huyu Kondakta ni Dereva.
Masikini Dereva yule, mwisho wa siku hata waliomuwezesha kuipata ile ajira na wenyewe watamiana.
@mods
Huu uzi wangu kwanini mmeuunganisha?
Huu uzi hauna uhusiano wowote na hapa mlipouleta.
Ninyi mmeuunganisha kwa tafsiri zenu, hiyo tafsiri yenu siyo ya kwangu.
Msitake ku dictate mambo na kutaka kulazimisha mambo kwa namna mtakayo ninyi.
Tafadhali naomba either uzi wangu muurudishe usimame wenyewe au kama haukidhi tagsiri zenu basi naomba muufute
@mederators
 
Story za kitoto kabisa hizi. Is this how anavyojaribu kujisafisha? Na yule aliyetaka kudhurumu nyumba ya GSM alikuwa ni dereva wake?
Na yale Magari ya kitahari aliyokuwa akinyang’anya watu na kuyatumia kwa shughuli zake binafsi na zavkiofisi akiweka plate number za RC na bendera alikuwa ni dereva wake?
Baada ya kuwaona watu wa Arusha ni WADUDU kaona ni rahisi kuwadanganya apendavyo! Ile sifa ya wana Arusha kujiona sijui Arachunga sijui nini! Imepotea na sasa ukimuona mtu wa Arusha muite MDUDU WEWE bila kujali ni nani maana Makonda anawafanya mabwege nao wanamtazama tuu!
 
Ila kuna huu mtindo sana wa utapeli wa jinsi hiyo. Hata vishoka wa TRA kujifanya mkuu anataka ili jambo liende kumbe hamna kitu.
 
Baada ya kuwaona watu wa Arusha ni WADUDU kaona ni rahisi kuwadanganya apendavyo! Ile sifa ya wana Arusha kujiona sijui Arachunga sijui nini! Imepotea na sasa ukimuona mtu wa Arusha muite MDUDU WEWE bila kujali ni nani maana Makonda anawafanya mabwege nao wanamtazama tuu!
Ameshawasoma Chugaland kagundua ni wepesi na mafala tu, hata matukio yao ni kunywa pombe na kulawitiana. Hata ukiangalia kinachoipa promo Chuga ukiondoa utalii, kinachofuata ni ku sodomiana na pombe.
 
Mwambieni watu hawajisafiShi kienyeji enyeji namna hii

Back
Top Bottom