Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hii
Na huo ujasiri aliutoa wapi huku akijua boss wake ni mkti wa ulinzi na usalama mkoa ?
Angetulia tu mengine yasahaulike
Hii michezo dereva alijifunzia wapi ?
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.
My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Na huo ujasiri aliutoa wapi huku akijua boss wake ni mkti wa ulinzi na usalama mkoa ?
Angetulia tu mengine yasahaulike