Pre GE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na ww unaona ni ukweli acha upumbavu
 
Makonda anajua anatafutwa na watu wa Dar , hasa kipindi cha Giza LA awamu ya 5

Huyu jamaa aliwafuata wahindi Upanga na kuchota hela nyingi sana ..

Mbali zaidi kuna watu wako Kariakoo kidogo wafilisike kwa kupeleka majina kisirisiri kwenye mamlaka za dawa za kulevya akisema wanajishughulisha navyo ... Wakatoa hela nyingi sana ili wapone na yeye akawa anapata gawio ...

Iko siku haya mambo yatawekwa wazi ...ngoja Kizimkazi amalize awamu yake mtaona
 
Ameshawasoma Chugaland kagundua ni wepesi na marala tu, hata matukio yao ni kunywa pombe ma kulawitiana. Hata ukiangalia kinachoipa promo Chuga ukiondoa utalii, kinachofuata ni ku sodomiana na pombe.
The Real Arachugans please stand up. Msikubali kufanywa Theatre ya kusambazia uongo.
 
Ingekuwa nchi yetu inafuata misingi ya utawala bora, mpaka muda huu yeye na huyo dereva wake wangekuwa wametiwa mbaroni ili kuubaini ukweli. Ila ndiyo hivyo tena. No one cares.

Ninavyofahamu, utapeli ni kosa la jinai!
 
2025 anachukua jimbo
 
Waliokula hiyo nyama wajipange! Msukuma akimtaka mtu mbaya wake humpata kwenye mlo, na hachomoki.
 
Na shetani uwa ana mafunuo kaa chonjo naye uwa anaitwa mungu maana kila mtu ana mungu wake kama Prof wa jalalani alimtambulisha mheshimiwa mungu wake kwa kutetemeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…