Pre GE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hatua gani wanazichukua dhidi ya hao wasaidizi matapeli!? Kama umenyooka msaidizi hawezi fanya ujinga! Kuna kitu anacho take advantage kutoka kwako
 
Polepoleeee ndio mwendoo
 
Dereva atafutwe ahojiwe aseme ukweli. Watanzania sio walewale wa enzi hizooo.
Ipo siku sasha naye atasema wasaidizi wake ndio waliwaondoa wale 'wachafuzi wa mazingira' wa ngorongoro na machinga wa Kariakoo. Na kuwapa rasilimali zetu mabeberu kwa kisingizio cha uwekezaji
 
Ni vyema akapeleka taarifa hizi kwa wahusika ili huyo dereva ashtakiwe kwa makosa hayo ya wizi. Ni aibu kulea wezi halafu unalialia mbele ya watu.
 
Hamna kitu kichwani kwa Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…