Pre GE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

Pre GE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alichokisema Makonda ni kweli, watu wengi sana wametapeliwa na bado wanaendelea kutapeliwa kwa huo mtindo. Mungu akufunulie uelewe. Wafanya biashara wanataabika sana. Yaani kumuona kiongozi wanatozwa hela nyingi mno na wafanya wasaidizi wa viongozi na usishangae kukuta kiongozi hata kama alikuwa rafiki yako akaacha kupokea simu vile vijamaa vinamtia sumu maana vyenyewe ndiyo gate valve ya kupokea hela za rushwa kumuona kiongozi. Yaani huo mchongo ni deep state kwa ufupi. Ila ukienda Zanzibar huo ujinga hawana. You can just walk ukaonana na waziri katibu mkuu ila njoo huku bara, yaani kumuona katibu mkuu, waziri au mkuu wa shirika wasaidizi wao ambao ni vetted watakutoza hela tena kama shida yako ni kubwa na hela ni kubwa na mbaya kiongozi anakuwa hajui.
Hatua gani wanazichukua dhidi ya hao wasaidizi matapeli!? Kama umenyooka msaidizi hawezi fanya ujinga! Kuna kitu anacho take advantage kutoka kwako
 
Jana kwenye nyama choma aliyoandaa kwa Wakuu wa Mashirika Mjini Arusha, anasema alipokuwa RC Dar, wakati yeye yupo amepumzika ndani, Dereva wake alikuwa anakuja kuchukua gari kisha kuweka namba za RC Dar na bendera kisha kwenda kwa matajiri kuomba/ kuchukua fedha kwa jina lake.

My Take:
Huyu anatafuta kujisafisha tu, ila iko siku atatuambia alimficha wapi Roma na alimzika wapi Ben Saanane
Polepoleeee ndio mwendoo
 
Dereva atafutwe ahojiwe aseme ukweli. Watanzania sio walewale wa enzi hizooo.
Ipo siku sasha naye atasema wasaidizi wake ndio waliwaondoa wale 'wachafuzi wa mazingira' wa ngorongoro na machinga wa Kariakoo. Na kuwapa rasilimali zetu mabeberu kwa kisingizio cha uwekezaji
 
Ni vyema akapeleka taarifa hizi kwa wahusika ili huyo dereva ashtakiwe kwa makosa hayo ya wizi. Ni aibu kulea wezi halafu unalialia mbele ya watu.
 
Dereva atafutwe ahojiwe aseme ukweli. Watanzania sio walewale wa enzi hizooo.
Ipo siku sasha naye atasema wasaidizi wake ndio waliwaondoa wale 'wachafuzi wa mazingira' wa ngorongoro na machinga wa Kariakoo. Na kuwapa rasilimali zetu mabeberu kwa kisingizio cha uwekezaji
Hamna kitu kichwani kwa Bashite
 
Back
Top Bottom